Hbr Zenu.Mtu Umepewa Hela Ya Kununua Mahitaji Ya Vyombo Vya Nyumbani Halafu Sisi Wa Nyumbani Tunatumia Ma Plastic Tunakula Chemicals Wageni Dongo,kioo Kwanini Jamani?
Familia Nyingi Ndivyo Zilivyo Mi Natumia Dongo Kioo Kila Cku Nawasema Hizi Familia Zenye Tabia Hii Nili Kwenda Mwanza Kwa Rafk Yangu Nikaletewa Dongo Na Kioo Wanae Wamepewa Kwnye Plastic Mpaka Naondoka Noma Jaman Hata Humu Jf Wapo Wenye Tabia Hiyo