Vyombo vya badoo

Vyombo vya badoo

New Nytemare

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
3,333
Reaction score
2,484
Wakuu,

Hivi kuna style gani ya kuwang'oa warembo wa badoo maana kila ninaye mtext anajibu moja, then makavu unamuona online halafu hawajibu text sijui nitumie style gani.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Wavute waje whatsapp then gawa pesa huku promise zikiendelea.
 
mkuu nitawavutaje whatsapp wakat hawajib text au nipige mapicha kwamba mie ni mtu wa bata magari ni...???
 
wakuu hivi kuna style gani ya kuwang'oa warembo wa badoo maana kila nnaye mtext anajibu moja then makavu unamuona online halafu hawajib text sijui nitumie style gan maana..

Mwaga pesaaa weweeeee.
 
Vitoto vakule havisumbui uki chat navo kingereza.namba vinagawa faster
 
Mbona me nawakamata kiurahisi kabisa mademu wa badoo, au me nna nyota sana ya kupendwa???
 
Hahaha.,,tumia kwa kuangalia picha zake ndo utumie technically in psychological through their pics itakusaidia zaidi kung'oa wale watoto.
 
Heheheee...

Yaani mtu yupo biiize kakaa anapiga mahesabu ya kutongoza w/ke katika mtandao! Kwani hao wa huko Badoo wanaishi wapi/nyumbani kwao ndiyo huko Badoo??

Mmweeh!!!
 
tehteh!
itabidi tutoe tuition maana vijana hamuna huwezo kabisa sikuhizi,

lete jina, umri na mji alioko, hakika nakuwekea number na conversations ujifunze number ilivyopatikana, hakika msg tatu yu zinatosha kuchukua number.
 
wakuu hivi kuna style gani ya kuwang'oa warembo wa badoo maana kila nnaye mtext anajibu moja then makavu unamuona online halafu hawajib text sijui nitumie style gan maana..

Hakuna warembo hapo kwa taharifa yako ni shida tupu
 
wakuu hivi kuna style gani ya kuwang'oa warembo wa badoo maana kila nnaye mtext anajibu moja then makavu unamuona online halafu hawajib text sijui nitumie style gan maana..

wazee tuna mambo mengi tu ya kupost ambayo bado wananchi wanayasubiri na wanategemea tulete humu ili waone mawazo yetu ili nao wapate angalau kitu fulani sio mada kama hizi
 
Hao watoto wa huko badoo wameshuka toka mbinguni au unaongelea hawa hawa wabongo wamejimwagia makeup?! Utoto bhana!!!
 
Back
Top Bottom