Tafadhari nitoe rai mithili ya mpiga mbiu, nikiwa kama raia moaza sauti, vyombo vya dola vilivyofungwa kamba kamwe havitaweza kutimiza wajibu wao kwa ufanisi na kwa kiwango cha kusudi tarajiwa,.
Tufanye tafakari na kuchukua hatua, vyombo vya dola si vyombo vya kuabudu na kunyenyekea waovu na kuwalinda waovu.
Ni hayo tu
Wadiz