Hao watoto wanaishi uganda?Ndiyo
Waandishi wa habari wa nchi gani? Wa Tanzania ni wa kusikiliza na kuandika hawajazoea mahojiano labda mahojiano ya baada ya mechi ya mpira angalau wanajaribu.Vyombo habari vitakavyoweza kufanya interview na watoto wa Iddi Amin vitavutia wasikilizaji wengi sana, hii ni kwa sababu kuna mengi yamesemwa kuhusu Iddi Amin na kwa sababu Iddi Amin ni sehemu ya Historia ya Tanzania kupitia vita vya Tanzania na Uganda mwaka 1978.
View attachment 3319265
View attachment 3319267
Lumumba Amin
View attachment 3319266
Jaffar Amin
muachage uposhajiMchongameno aliweza kuwashika vichwa mazwazwa wa Tanganyika kwa kutengeneza stori za uongo kuhusu Idi Amin
Hao Wana hamu na uhakika wakifa kwenye uislamu watabadilika na kuwa miarabu kama Baba Yao.Vyombo habari vitakavyoweza kufanya interview na watoto wa Iddi Amin vitavutia wasikilizaji wengi sana, hii ni kwa sababu kuna mengi yamesemwa kuhusu Iddi Amin na kwa sababu Iddi Amin ni sehemu ya Historia ya Tanzania kupitia vita vya Tanzania na Uganda mwaka 1978.
View attachment 3319265
View attachment 3319267
Lumumba Amin
View attachment 3319266
Jaffar Amin
Propaganda tuHao ni kizazi cha watu walioalaniwa wala hatuhitaji ukaribu nao kwa namna yoyote isipokuwa msamaha wa kitaifa ufanyike.
Hata Yesu alikua muislam, kazaliwa Palestina na sio Vatican kama mnavyosemaHao Wana hamu na uhakika wakifa kwenye uislamu watabadilika na kuwa miarabu kama Baba Yao.
Adiosamigo Malaria 2 Ritz Lucha
Nyau de adriz
Kikeke anaweza akafanya wonders ...na yule OdembaWaandishi wa habari wa nchi gani? Wa Tanzania ni wa kusikiliza na kuandika hawajazoea mahojiano labda mahojiano ya baada ya mechi ya mpira angalau wanajaribu.
Hujawaza kama watakua walikua wadogonsana?Kwa nini?
KabisaaWatakua hawajui chochote.