Vyombo vya habari bongo vifanye mahojiano na watoto wa Iddi Amin tuwasikie kuhusu baba yao

Vyombo vya habari bongo vifanye mahojiano na watoto wa Iddi Amin tuwasikie kuhusu baba yao

Hivi jafar hajawahi kuja tanzania pale butiama au chato kweli? Tena ni miaka ya karibuni, mshua hana kinyongo na tanzania
 
Hivi jafar hajawahi kuja tanzania pale butiama au chato kweli? Tena ni miaka ya karibuni, mshua hana kinyongo na tanzania
Nafikiri amewahi kuja na kukutana na madaraka Nyerere wakapiga stori.
 
Muhozi ana nyodo kuliko watoto wa iddi amini. Kina jafar wanaweza kuja tanzania kama kwao tu na wakapewa heshima. Wakutane tu na kina makongoro wasalimiane kindugu
 
Waandishi wa habari wa nchi gani? Wa Tanzania ni wa kusikiliza na kuandika hawajazoea mahojiano labda mahojiano ya baada ya mechi ya mpira angalau wanajaribu.
Wengi wa hao mnowaona wakifanya mahojiano baada ya mpira kuchezwa wengio sio waandishi waliosomea hiyo kazi,ndio maana unaona uwezo wao sio mkubwa sana.Sasa waandishi wa habari waliosomea hiyo kazi na wenye uwezo hawalipwi maana hivyo vyombo vyao havina pesa,na pia hivyo vyombo havina uwezo wa kuwagharimia waandishi kwenda popote kule kufanya mahojiano
 
abracadabra
 
Nilitegemea aulizwe hili swali.

Je ? Ulijisikiaje Bab yako kuhusishwa na maswala ya mauaji ya watu mbali mbali, kupigwa risasi kwa Tundu lissu n.k.

Na je ni kweli baba yako alikufa kwa corona , na je alikuwa akiishi na betri.

Na ipi hasa tarehe sahihi ya kifo cha baba yako ni kweli ni trh 17 march ?

There was no logic question btn Ayo and Jesca
 
Back
Top Bottom