chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Waandishi wa habari za udaku wa Malawi wanajiwinda kuanza kuandika habari za vituko ambazo balozi wa Tanzania Malawi atakuwa akiweka katika mitandao yake ya kijamii
Balozi Polepole, ambaye atakuwa sura ya Tanzania na Rais wa Tanzania, ana tabia ya kushangaza ya kukata mauno akicheza sebene, jbo ambalo litaiweka diplomasia ya Tanzania katika wakati mgumu, na ya kustaajabisha dunia kwa fedheha.
Anaweza kuwa mwanadiplomasia wa kwanza afrika na duniani kufanya vituko hivyo.