Vyombo vya habari Tanzani vinatia aibu sana

Kiranja wa jamii

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2023
Posts
1,222
Reaction score
2,912
Jioni hii ya leo tarehe 14.11.2025 nilikuwa nasikiliza redio one stereo waliokuwa wamejiunga na idhaa ya kiswahili BBC kwa matangazo yao ya jioni

BBC wameruhusiwa kuelezea hotuba ya Rais na habari nyingine nyingine lakini ilipofika hatua ya kutaka kusikia maoni ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA kuhusu mtazamo wake juu ya hotuba ya Rais, matangazo yamekatwa ghafla na hapa wametuwekea muziki na matangazo

Binafsi nadhani hawa wamiliki na watangazaji au waendeshaji wa vipindi katika hizi redio zetu za ndani wanatakiwa kujiamini na kutimiza wajibu wao

Watu wanapozungumzia haki (achana na wale viongozi wa dini wanayosema ni dini ya HAKI halafu leo wanasema AMANI ni bora kuliko HAKI kwa maana dini yao inaamini na kuhubiri kitu kisicho muhimu?) hivi vyombo vya habari visidhani anayetakiwa kutenda haki ni serikali peke yake!! Vyombo vya habari vinapaswa kutoa haki ya kupata habari kwa makundi yote

Kwa mfano, wasikilizaji wa redio one sterio waliotaka kusikia maoni ya kiongozi wa CHADEMA wakasikilize hayo maoni wapi?
 
Sio media tu na taasisi nyingi na mashirika yamekaa kinafiki nafiki tu wameona leo mtu katoa pole kwa wafiwa kuanziq kesho utashangaa nazo zinaunga tela yaan kama ma zombi mamaaeee
 
Jioni hii ya leo tarehe 14.11.2025 nilikuwa nasikiliza redio one stereo waliokuwa wamejiunga na idhaa ya kiswahili BBC kwa matangazo yao ya jioni

BBC wameruhusiwa kuelezea hotuba ya Rais na habari nyingine nyingine lakini ilipofika hatua ya kutaka kusikia maoni ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA kuhusu mtazamo wake juu ya hotuba ya Rais, matangazo yamekatwa ghafla na hapa wametuwekea muziki na matangazo

Binafsi nadhani hawa wamiliki na watangazaji au waendeshaji wa vipindi katika hizi redio zetu za ndani wanatakiwa kujiamini na kutimiza wajibu wao

Watu wanapozungumzia haki (achana na wale viongozi wa dini wanayosema ni dini ya HAKI halafu leo wanasema AMANI ni bora kuliko HAKI kwa maana dini yao inaamini na kuhubiri kitu kisicho muhimu?) hivi vyombo vya habari visidhani anayetakiwa kutenda haki ni serikali peke yake!! Vyombo vya habari vinapaswa kutoa haki ya kupata habari kwa makundi yote

Kwa mfano, wasikilizaji wa redio one sterio waliotaka kusikia maoni ya kiongozi wa CHADEMA wakasikilize hayo maoni wapi?
Mkuu pole sana, bado unasikilizo takaka? achana nazo. Unaweza kusikiliza DW , BBC na vyombo vingine online bila kupitia hao machawa.
 
Jioni hii ya leo tarehe 14.11.2025 nilikuwa nasikiliza redio one stereo waliokuwa wamejiunga na idhaa ya kiswahili BBC kwa matangazo yao ya jioni

BBC wameruhusiwa kuelezea hotuba ya Rais na habari nyingine nyingine lakini ilipofika hatua ya kutaka kusikia maoni ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA kuhusu mtazamo wake juu ya hotuba ya Rais, matangazo yamekatwa ghafla na hapa wametuwekea muziki na matangazo

Binafsi nadhani hawa wamiliki na watangazaji au waendeshaji wa vipindi katika hizi redio zetu za ndani wanatakiwa kujiamini na kutimiza wajibu wao

Watu wanapozungumzia haki (achana na wale viongozi wa dini wanayosema ni dini ya HAKI halafu leo wanasema AMANI ni bora kuliko HAKI kwa maana dini yao inaamini na kuhubiri kitu kisicho muhimu?) hivi vyombo vya habari visidhani anayetakiwa kutenda haki ni serikali peke yake!! Vyombo vya habari vinapaswa kutoa haki ya kupata habari kwa makundi yote

Kwa mfano, wasikilizaji wa redio one sterio waliotaka kusikia maoni ya kiongozi wa CHADEMA wakasikilize hayo maoni wapi?
Tz na sehemu kubwa ya Africa bado kukubali kuwa dunia kijiji na mitazamo ni tofauti na hayo ndiyo maendeleo yenyewe, na sii wizi,ufisadi ama nguvu za mabavu wala madaraka.
 
Njaa mbaya sana! Karibia wana habari wote kwa sasa wanaishi maisha ya uchawa tu ili wateuliwe kuwa Ma DC, au wapate nafasi ya kugombea ubunge.

Ukijumlisha na ile Samia awards iliyowekwa makusudi kabisa ili kuwarubuni; ndiyo kabisaaa! Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuwazingatia.
 
Back
Top Bottom