chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Vyombo vya habari kwa tanzania havijui nini misimamo katika kuendana na soko.
Mfano wenzetu ukikuta kama BBC basi utakuta BBC habari imejikita kuwa makini na habari sio kuleta ujinga, ndio maana kuna BBC chaneli nyingine zisipoteze muelekeo.
Ukija mfano National Geographic, Discovery, CNN, TMZ, Cartoon Network na n.k hapa kila mmoja hata fanya kulingana na nini ili kuwa tofauti.
Kwa tanzania ni tatizo sana mfano EATV wao ndio wanatangaza habari za serekali wao wanaonyesha kazi za mziki wajiulize au wajifunze mbona channel O au MTV au BET uwezi kukuta tabia kama walizo nazo.
Sasa hapa kuanzia redio na tv naona pamekuwa sehemu ya kutoa life zao na majigambo yao.
Wasafi tunaona kama mnashindwa semeni hii ni redio ya wasanii na wapuuzi kuja kutumia ujinga.