Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,055
- 781
Wanabodi.
Mimi ni mmoja katika tasnia hii. kuna malalamiko mengi juu ya kwa nini vyombo vya habari Tanzania haviandiki tuhuma bali vinaandika kanusho za tuhuma. mfano kama hii ya PolePole
Kwa wasiolewa taaluma hii naomba nisaidie jambo.
Kwanza kama Taifa tunakiri kuna shida mahali katika uhuru wa kujieleza hapa nchini na hilo hakuna anayepinga lakini inapofika katika hatua ya kunadika habari kama ya Polepole aliyotoa ni ngumu sana chombo cha habari makini kuandika tuhuma zile moja kwa moja bila upande wa pili kupata nafasi(right of reply).
Lakini kwa sasa kuna citizen journalism ambapo mtu yoyote anaweza kuandika mtandaoni chochote na muda wowote kiwe ni cha kweli,cha uongo. technlogia inaruhusu
Madai ya Polepole yalikuwa hayaandikiki. maana ushahidi wake ni ngumu sana kuthibtisha bila kufaya uchunzi binafsi(investigative journalims) jambo ambalo linaweza chukua muda lakini gazeti moja la Mwananchi limefanya jitihada kubwa za kutafta upande wa pili na kuchapisha habari husika ambapo sasa habari husika imepata nafasi na maelezo ya upande wa pili.
Pia baada ya INEC,ACT Wazalendo kumjibu Pole[pole sasa vyombo vya habari vinapata walau nafasi ya kuandika habari ya Polepole ikiwa na right of reply japo kwa kuchelewa.
Duniani kote habari kubwa katika mainstream media uanzia katika habari za mitandaoni na si kweli kwaba habari za mitandaoni zote ni fake bali nature ya citizen journalism iko hivyo na mainstream media zinafanya kazi hivyo.
Kuna suala la muda kwa maana kwamba jamii inataka ile live ya Polepole irushwe moja kwa moja na vyombo rasmi jambo ambalo hata kama kungekuwa na uhuru wa vipi taaluma inakataza.
Angalizo:Uzi huu siyo wa kubeza au kuthibitisha maelzeo ya wahusika bali kuweka uelewa kwa jambo husika.
Mathias