Vyombo vya habari Tanzania ni hovyo! Suala la Chionda linatia aibu!

Sasa hao ndgu zako wanasema hizi ni dini za wazungu wakati huko kwao atheist ndio wapo kibao, utasema kina Mwamposa, Mzee wa upako and the like ni wazungu hao!!
Ila ni kweli dini zimeanzishwa kwa madhumuni ya kiutawala .
 
What a waste os time reading this
 
What a waste os time reading this
🤣🤣🤣🤣 aiseee usisome mkuu, we nenda ukavute bangi na chionda muambiane jinsi wazungu wanawaogopa waafrika mfarijiane
 
Ngoja na mimi nivute bangi zangu halafu nijipeleke kuhojiwa
 
Mi nilipo anza kumsikiliza tu nikajua huyu dishi tayari limecheza ni jamii flani ya sampuli ya kina nabii tito nashangaa eti watu wanamuita genius.😆😆😆
 
Mi nilipo anza kumsikiliza tu nikajua huyu dishi tayari limecheza ni jamii flani ya sampuli ya kina nabii tito nashangaa eti watu wanamuita genius.😆😆😆
Nilistuka kuona anaitwa Genius ikabidi nishushe thread aise, hatuwezi tukawa na vijana hawana uelewa wa mambo hivi
 
Huyo boya anapata tu mileage hana kitu. Huenda bangi. Na stress zinamsumbua
 
ndio maana nikaja na
https://www.jamiiforums.com/threads...otent-singularity-imeandaliwa-na-iit.2483819/

imani an dini itakayodumu milele
 
Radio za bongo ni takataka.
Utasikia TBC kuwa Malasusa ni "Askofu Mkuu wa KKKT"!!
Yaani radio unaongelea mambo ambayo huna uwelewa nayo!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…