Amesema hapo mbona "taarifa kwa vyombo vya habari"‘Press release‘ kwa kiswahili inaitwaje?
Taarifa Kwa chombo cha habari.‘Press release‘ kwa kiswahili inaitwaje?, Taarifa kwa vyombo vya habari imetolewa kwa kutumia njia ipi?
Soma reply yangu yoteAmesema hapo mbona "taarifa kwa vyombo vya habari"
Soma reply yangu yote
Kumbe uliedit!!Soma reply yangu yote
Mkuu hili neno MATIGANGA Bakita wana taarifa nalo????????Tulichokiona Umma na walichopewa waandishi wa habari hadi sasa ni Press Release ya Ndugai kuhabarisha kuwa amemwandikia Katibu Mkuu wa CCM "Barua" ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa hiyo aliyeona BARUA ya Ndugai ni Chongola peke yake, na pengine Katibu wa Bunge aliyenakilishwa hiyo barua, wengine wote tumeona PRESS RELEASE/TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Lakini matiganga yaliyojaa katika vyombo vya habari Tanzania yanaripoti kuwa hiyo ni BARUA[emoji3]
Mfano huu hapa:
View attachment 2071545
Mhimu Ndugai siyo Spika mengine tutarekebishaUpo sahihi mkuu mwisho wa siku ndugai siyo spika tena alikuwa!
Asante sana kwa ufafanuzi[emoji1545]Tulichokiona Umma na walichopewa waandishi wa habari hadi sasa ni Press Release ya Ndugai kuhabarisha kuwa amemwandikia Katibu Mkuu wa CCM "Barua" ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa hiyo aliyeona BARUA ya Ndugai ni Chongola peke yake, na pengine Katibu wa Bunge aliyenakilishwa hiyo barua, wengine wote tumeona PRESS RELEASE/TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Lakini matiganga yaliyojaa katika vyombo vya habari Tanzania yanaripoti kuwa hiyo ni BARUA[emoji3]
Mfano huu hapa:
View attachment 2071545
Huo ni uzuzu wa waandishi wetu wa habariTulichokiona Umma na walichopewa waandishi wa habari hadi sasa ni Press Release ya Ndugai kuhabarisha kuwa amemwandikia Katibu Mkuu wa CCM "Barua" ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa hiyo aliyeona BARUA ya Ndugai ni Chongola peke yake, na pengine Katibu wa Bunge aliyenakilishwa hiyo barua, wengine wote tumeona PRESS RELEASE/TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Lakini matiganga yaliyojaa katika vyombo vya habari Tanzania yanaripoti kuwa hiyo ni BARUA[emoji3]
Mfano huu hapa:
View attachment 2071545
Ndo tunalifanyia promo liingizwe kwenye Kamusi ya Kiswahili SanifuMkuu hili neno MATIGANGA Bakita wana taarifa nalo????????