kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Wamiliki wa vyombo vya habari hasa ITV, TBC na Star TV mlikuwa wapi hadi vyombo vyenu vimepoteza mvuto kiasi hiki?
Leo watu wanasikiliza vipindi na kuangalia wasafi, clouds, TV E, na media mpya mpya ambazo asilimia kubwa ya watangazaji si wanataaluma ya habari niwasanii na wanamziki waliobadilisha fani kuwahi fursa iliyoachwa wazi na wanahabari. Mishahara ya wanataaluma wa habari na ya Hawa comedian au wanamziki inatofautiana sana.
Lini mtabadilisha mfumo wenu wa ajira na aina ya watu wakuwaajiri? Wekezeni kwenye talent siyo GPA au undugu.
Huwa nasikiliza TBC ya kiingereza natamani hata kuwapigia simu wasiongee wabaki na mziki...kiingereza kinachoongelewa huko utadhani waliofanyisha usahili walisahili kwa Kiswahili .shame