Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Wakati wa Sala katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani, Sheikh alieleza kuwa licha ya kuwa ulimi si mfupa lakini unavunja mifupa, na pia ulimi siyo upanga lakini unamwaga damu.
Hivyo amewataka waandishi wa habari kuwa makini katika habari zao kwani wao wamemebeba dhamani ya watu, wao wanaweza kuharibu ama kujenga.
Hivyo amewataka waandishi wa habari kuwa makini katika habari zao kwani wao wamemebeba dhamani ya watu, wao wanaweza kuharibu ama kujenga.