Vyombo vya habari vya Kizayuni vinaripoti siku ngumu kaskazini mwa nchi, roketi zanaruka kama ndege

Hisbollah wameomba poo wamekubali kusimamisha vita na kurudi nyuma ya litani river
 
Hisbollah wameomba poo wamekubali kusimamisha vita na kurudi nyuma ya litani river
Ukiona ceasefire USA kaipitisha ujue hali ilikua ngumu ww jiulize kwanini ceasefire ya Gaza anaipinga aikubali ya Lebanon na imepita fasta tu
 
Yahudi jeusi la Iramba hata alijui linataka kusema nini kuna Gaidi zaidi ya Netanyahu, watu wana RB yake.
Io mihemuko Mzee WA kobasi mbona hauliwi Tu uyo gaidi😂😂😂mtu analinda taifa lake eti gaidi kila mnapolia kaua watoto kuna kiongozi wa magaidi kafa
 
Hahaha umesikia wameshaomba poo au bado umelala?
 
Hahahah nimesikia Hezbullah wameomba Poo, wakajikande kwanza au aliyeomba ni Israel?
 
Ukiona ceasefire USA kaipitisha ujue hali ilikua ngumu ww jiulize kwanini ceasefire ya Gaza anaipinga aikubali ya Lebanon na imepita fasta tu
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 kwa unadhani hali ya Israel ni ngumu na ya Hisbollah ni nzuri!!?? Tricky hii Israel aweze kufucus kwa iran maana damage iliyopata Hisbollah haielezeke na watapaswa kuhama kusini mwa Lebanon ndio jeshi la Israel 🇮🇱 liondoke over
 
Lete ushahidi.
Hisbollah Watahama hadi kaskazini mwa litani river,
Jeshi la kitaifa linasogea upande wa kusini mwa Lebanon na Israel kuanza ku withdraw.
Israel ina haki ya kijibu vikali uchokozi wowote utakaofanywa na Hisbollah wakati wa ceasefire.
Hamas kwao hali itakuwa ngumu zaidi maana sasa Israel ita focus kuwasafisha kabisa Hamas Gaza hadi kuwe na utulivu
 
Aibu Sana 🤣 🤣

Mtu anayejidai kuwa Ni baunsa akipigwa makofi na kimbambau ni fedheha
 
Those are wishful thinkings and alot of bleee bleee bleee.
Hizbollah bado hajatoa kauli juu ya hilo.

Na hata kama atakubali kuondoka Litani river itakua ni vizuri kwasababu atakua ameisikiliza serikali yake na sio kwasababu anaiogopa Israel.
Tunasubiri Hizbollah atoe tamko bado hajatoa tamko.
 
Ukiona ceasefire USA kaipitisha ujue hali ilikua ngumu ww jiulize kwanini ceasefire ya Gaza anaipinga aikubali ya Lebanon na imepita fasta tu
Gaza hawana silaha kule kwa
Lebanon wanakula kipondo cha kimya kimya wanajeshi wamemalizika
 
Hahahaha 🤣 🤣 kipigo heavy alichopewa sio mchezo viongozi wake na makamanda wote walifukiwa kama panya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…