ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Hisbollah wameomba poo wamekubali kusimamisha vita na kurudi nyuma ya litani river
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza KUONGOPA tena aisee!?Nahariya ni mji ambao wakazi wake ni waarabu na waislamu
Lete ushahidi.Hisbollah wameomba poo wamekubali kusimamisha vita na kurudi nyuma ya litani river
Kama mnavyo jifariji magaidi wenzetuMagaidi mnajifariji
Ukiona ceasefire USA kaipitisha ujue hali ilikua ngumu ww jiulize kwanini ceasefire ya Gaza anaipinga aikubali ya Lebanon na imepita fasta tuHisbollah wameomba poo wamekubali kusimamisha vita na kurudi nyuma ya litani river
Io mihemuko Mzee WA kobasi mbona hauliwi Tu uyo gaidi😂😂😂mtu analinda taifa lake eti gaidi kila mnapolia kaua watoto kuna kiongozi wa magaidi kafaYahudi jeusi la Iramba hata alijui linataka kusema nini kuna Gaidi zaidi ya Netanyahu, watu wana RB yake.
Hahaha umesikia wameshaomba poo au bado umelala?Sasa Hezbullah awana hofu wanajua yahudi kuja Lebanon asubutu zaid kesho utasikia majengo kayashusha mji mkuu ana akili mpya kama zamani kipindi ichi ndio tungeona tungesema makomando wanaenda safisha kusini ya Lebanon lkn wapi zile story ilikuwa mapichapicha uyo komando mwenyewe miaka 18 au 22 chembamba japo kavaa makoti manene lkn mtu nyama ana kitoto cha form 1 et ndio komando la ISRAEL wakupigana n Dunia!!!
Hapana Israel anatembezewa kichapo sema haruhusu media zichukue, we video na picture unazo ona ni 1/10 ya kipigo original.
Hezbullah leo katumia Rocket mpya ambazo warhead yake ni karibuMajibu ya kupiga watoto na wanawake au kuvunja majumba 😆 Hezbullah anasema sio USA au Nato wanaweza kuvunja silaha zao, achana na yule Israel.
Kwa tarifa yako Israel analia eti Yemen wapo kwenye border yao wana mlaumu USA 😄
View: https://youtu.be/qYWkgv8lqA8?si=HBvTWm0HxP0uQs5r
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 kwa unadhani hali ya Israel ni ngumu na ya Hisbollah ni nzuri!!?? Tricky hii Israel aweze kufucus kwa iran maana damage iliyopata Hisbollah haielezeke na watapaswa kuhama kusini mwa Lebanon ndio jeshi la Israel 🇮🇱 liondoke overUkiona ceasefire USA kaipitisha ujue hali ilikua ngumu ww jiulize kwanini ceasefire ya Gaza anaipinga aikubali ya Lebanon na imepita fasta tu
Magaidi wanajulikana mkuuKama mnavyo jifariji magaidi wenzetu
Hisbollah Watahama hadi kaskazini mwa litani river,Lete ushahidi.
Those are wishful thinkings and alot of bleee bleee bleee.Hisbollah Watahama hadi kaskazini mwa litani river,
Jeshi la kitaifa linasogea upande wa kusini mwa Lebanon na Israel kuanza ku withdraw.
Israel ina haki ya kijibu vikali uchokozi wowote utakaofanywa na Hisbollah wakati wa ceasefire.
Hamas kwao hali itakuwa ngumu zaidi maana sasa Israel ita focus kuwasafisha kabisa Hamas Gaza hadi kuwe na utulivu
Gaza hawana silaha kule kwaUkiona ceasefire USA kaipitisha ujue hali ilikua ngumu ww jiulize kwanini ceasefire ya Gaza anaipinga aikubali ya Lebanon na imepita fasta tu
Hahahaha 🤣 🤣 kipigo heavy alichopewa sio mchezo viongozi wake na makamanda wote walifukiwa kama panyaThose are wishful thinkings and alot of bleee bleee bleee.
Hizbollah bado hajatoa kauli juu ya hilo.
Na hata kama atakubali kuondoka Litani river itakua ni vizuri kwasababu atakua ameisikiliza serikali yake na sio kwasababu anaiogopa Israel.
Tunasubiri Hizbollah atoe tamko bado hajatoa tamko.