Vyombo vya habari vya Kizayuni vinaripoti siku ngumu kaskazini mwa nchi, roketi zanaruka kama ndege

Vyombo vya habari vya Kizayuni vinaripoti siku ngumu kaskazini mwa nchi, roketi zanaruka kama ndege

Israhell ipo nyuchi sanaaa
Hizbollah Wana test maroketi Yao mapya kuona kama yanafanya kazi ipqsavyo🤣🤣🤣...Biden nadhani anaomba hata kesho aachie ofisi maana huku kwa watoto wake wa kambo Hali Tete kule kwa comedian wake Put iiiinnnn naye anapiga makonzi ya ulimi...watamuua hyu babau kwa depression
 
Wanaukumbi.

⚡️⭕️ RNN: Vyombo vya habari vya Kizayuni vinaripoti: "Siku ngumu kaskazini mwa nchi... maroketi yanaruka kama ndege, na tahadhari zinaendelea. Hezbollah inawadhihirishia wafuasi wake kwamba mlingano wa [Sheikh] Naim Qassem bado unatumika: ' Mgomo katika moyo wa Beirut ni sawa na mgomo wa 'Tel Aviv.'

Vyombo vya habari vya Kizayuni vimesema kuwa leo kumeshuhudia msongamano mkubwa zaidi wa roketi zilizorushwa kuelekea kaskazini tangu kuanza kwa vita huko Lebanon. Takriban "waisraeli" milioni 4 wameingia kwenye makazi.

"Israeli" Channel 12: "Hezbollah imeunda kwa ufanisi ukanda wa usalama ndani ya 'israel,' kufikia eneo la Haifa, ghuba yake, na eneo la 'Hasharon' katikati."

Misururu ya hivi punde ya roketi zilizorushwa na Hezbollah zinasababisha uharibifu mkubwa katika maeneo mengi katika jumuiya ya Kizayuni.

Milio ya roketi kwenye makazi ya "Petah Tikva," iliyojengwa kwenye ardhi ya kijiji cha Mlabes mashariki mwa "Tel Aviv," imesababisha uharibifu wa takriban magari 40 ya walowezi.

Angalau roketi sita zilipiga majengo moja kwa moja katika maeneo mbalimbali wakati wa salvos za hivi karibuni za roketi.

Takriban walowezi 10 wamejeruhiwa hadi sasa.

Kwa kuongeza, besi nyingi za IOF zinalengwa mfululizo.
===============
⚡️⭕️ RNN: Zionist media report: "A difficult day in the north of the country... rockets are flying like birds, and alerts are continuous. Hezbollah is demonstrating to its supporters that [Sheikh] Naim Qassem’s equation remains in effect: 'A strike in the heart of Beirut equals a strike in 'Tel Aviv.'"

Zionist media stated that today has seen the highest density of rockets launched toward the north since the start of the battle in Lebanon. Approximately 4 million "israelis" have entered shelters.

"Israeli" Channel 12: "Hezbollah has effectively created a security belt within 'israel,' reaching the Haifa area, its bay, and the 'Hasharon' region in the center."

The latest barrages of rockets fired by Hezbollah are causing massive destruction in many areas across the zionist entity.

The rocket barrages on the settlement of "Petah Tikva," built on the lands of the village of Mlabes east of "Tel Aviv," has caused damage to approximately 40 settlers' vehicles.

At least six rockets directly struck buildings in various locations during the latest rocket salvos.

At least 10 settlers injuries have been reported so far.

In addition, multiple IOF bases are being targeted consecutively.


View: https://x.com/me_observer_/status/1860676719880913059?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Mwisho wa lebanon ndio umefika hyo lebanoni itaangamizwa yote hv karibuni.
 
Mwisho wa lebanon ndio umefika hyo lebanoni itaangamizwa yote hv karibuni.
Kipindi Lebanon inakuwa magofu basi na asilimia 50% ya hcho kinchi cha mchongo nacho kitakuwa hoi bin taabani....haya mashambulizi ya Hezbollah sometimes unaona ni kama kuna kahujuma pia kwa upande wa Israel....tangu yule waziri mwenye sura mbaya alovyotenguliwa mambo yamezidi kuwa mabaya zaidi....yule Babu anauza mchoro kwa Hawa wahuni
 
Kipindi Lebanon inakuwa magofu basi na asilimia 50% ya hcho kinchi cha mchongo nacho kitakuwa hoi bin taabani....haya mashambulizi ya Hezbollah sometimes unaona ni kama kuna kahujuma pia kwa upande wa Israel....tangu yule waziri mwenye sura mbaya alovyotenguliwa mambo yamezidi kuwa mabaya zaidi....yule Babu anauza mchoro kwa Hawa wahuni
Hilo nakubali kuna hujuma na watamkamata tu ila maandiko ya Biblia yanasema lebanoni itaangamizwa.
 
Wanajeshi wa Israel wanaeleza vipi askari wawili wa Hezbullah wameweza kuwauwa askari 6 na kuwajeruhi 14 katika mapambono yalio tokea week tatu za nyuma. Ilibidi waited drone ije kuvunja nyumba hio na walipo enda kuhakikisha kama wamemuwa yule askari wao na officer wao, yule mwanajeshi akamtwanga risasi Commander wao. Wanacho sema yule Commander wao Emmad Mughniya aliwapa training babkubwa hao Radhwan force, si rahisi kuwashinda hao kwenye vita.


View: https://youtu.be/1RvZoYp9LFw?si=xaxYZV-8proJVa3M
 
Mji wao mkuu ukipigwa ivi haaa watakimbia jamaaa na kifo sawa na simba n yanga awaivi hiii vita tamu piga nikupige sio kuoneana kama Gaza watu umewafungia ndani afu unatangaza vitanao mbona utangazi vita na IRAN mfadhili mkuu. ULaya yote inamuogopa mjuba.
 
Huna akili mfuasi wa muddy yaan unaokoteza viclip huko X kwa huyo shehe ubwabwa afu unatuletea huku pumbafuuu
Ningekuwa sina akili bi mkubwa wako nisingekuwa namtafuna.

JF ni jukwa huru siyo forum ya basha wako kama hupendi ninachopost pita kule kasome majukwa mengine wewe utakuwa upo kwenye period una hasira sana kumbuka ukiacha uzi kunishambulia utakutana na bakora.


View: https://x.com/marionawfal/status/1860718287463530631?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Kama maneno yangekuwa yanapiga na kuua, nadhani wayahudi wote wangekuwa wamekufa, na Israel yote ingekuwa inakaliwa na magaidi ya Hezbollah na Hamas.

Kila siku tunaambiwa makombora ya Hezbollah yameangamiza Israel, majengo yao, ndege zao na bases zao, halafu kesho yake unaambiwa idadi ya marehemu wa Hamas na Hezbollah inazidi kuongezeka!!

Vipi Ritz, Hezbollah wameangamiza bases zote za kijeshi za wazayuni? Kwa hiyo kuanzia kesho wazayuni hawataweza kushambulia tena?
Kweli kabisa maneno ya Netayahu siku Hamas ingekuwa imefutwa🤣


View: https://x.com/silentlysirs/status/1860696526407795165?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom