Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Keep dreaming. Israel is there to stayIt's not a good idea to steal other people's land. At last they will go back to Europe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keep dreaming. Israel is there to stayIt's not a good idea to steal other people's land. At last they will go back to Europe
Kapigika kivipi wakati amefanikiwa kuwaangamiza maelfu ya magaidi ikiwa ni pamoja na viongozi wao wote wakubwa, amevunja mtandao wa ugaidi pamoja na kugeuza Gaza vifusi.Hii inaitwa jino kwa jino.
Kwa kichapo hiki Muda si mrefu utasikia tunafanya majadiliano ya ceasefire with Hizbollah
Lakini kule Gaza kwa sbb ni wadhaifu hawana silaha kama Hizbollah Israel hawataki ceasefire.
Ukiona Israel anakubali ceasefire ujue hapo kapigika
Badala kwenda kupigana na Hamas wanakwenda kuuwa watoto tuliaminishwa ujinga mwingi kuhusu hawa mashoga.
View: https://x.com/localfocus1/status/1860796250515279959?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mtu anambiwa na mudi eti asinywe pombe atazikuta mbinguni na mabikra 72. Bado wanaamini hilo jambo wakati mudi mwenyewe alipiga kabinti ka miaka 9. Hivi unaona jinsi akili zenu, ilivyoIla hatujawazidi nyie waabudu masanamu almaarufu kama maqaafiri
Mtu unaabudu sanamu ambalo umalitengeneza mwenyewe halafu unajiona una akili timamuMtu anambiwa na mudi eti asinywe pombe atazikuta mbinguni na mabikra 72. Bado wanaamini hilo jambo wakati mudi mwenyewe alipiga kabinti ka miaka 9. Hivi unaona jinsi akili zenu, ilivyo
Wachumba wale bila USA mbona hamasi alishawatoa kamasiZamani tulikuwa tunadanganywa sana kuwa Israel ni kiboko jeshi lao ma makomandoo wao hawashindwi kitu leo watu wanajipgia tu Makomandoo wao wamebakia kuuwa watoto na wanawake na kuvunja majengo😃
Vipi unahitaji visa ya Israel ukawasaidie wenzako? Wanalipa vizuri sana na wanatafuta mercenaries fika ubalozini kwao chapKapigika kivipi wakati amefanikiwa kuwaangamiza maelfu ya magaidi ikiwa ni pamoja na viongozi wao wote wakubwa, amevunja mtandao wa ugaidi pamoja na kugeuza Gaza vifusi.
Kwa kipigo wanachotoa dhidi ya magaidi ya kidini sidhani kama wanahitaji msaadaVipi unahitaji visa ya Israel ukawasaidie wenzako? Wanalipa vizuri sana na wanatafuta mercenaries fika ubalozini kwao
Baada ya kichapo Ulaya na Marekani wamemwambia mziki wa Hezballah ni ngumu kuuzuia😂Na hii ndio sababu Israel hawawezi kushinda hii Vita..maana wanapandikiza chuki kwa watoto ambao wanakua kwenye mazingira ya Vita ..wanahasira na Israel kwa unyama wao
Wachumba wale bila USA mbona hamasi alishawatoa kamasi
Wapi ulikuta wanaabudu sanamu? Au hujui kuabudu sanamu maana yake ni nin? Ndiyo maana watu wengi wanasema mudi kawavuruga sanaMtu unaabudu sanamu ambalo umalitengeneza mwenyewe halafu unajiona una akili timamu
Kama hujatuonesha kichwa cha put in unatakiwa uzidi kupuuzwa kwakweliMaumivu ya Israel yanasababishwa na Iran ukimaliza iran umemaliza vikundi vyote. Iran analindwa na mrusi mrusi anamuumiza Israel why ni Zelensik myahudi ndani ya Ukraine so what to do eliminate two head of state to save Israel who are they stay tune
Makanisani nkWapi ulikuta wanaabudu sanamu? Au hujui kuabudu sanamu maana yake ni nin? Ndiyo maana watu wengi wanasema mudi kawavuruga sana
Magaidi mnajifarijiIsrahell ipo nyuchi sanaaa
Eti walishinda vita siku 6 upuuzi mtupu😀 wanapelekewa moto wanalia kama mbwa.
View: https://x.com/me_observer_/status/1860677388964597991?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw