The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Nawaza, hivi ingekua Taliban wamechukua nchi kipindi cha Trump sijui ingekuaje, hiyo bado image ambayo Trump angepewa haina mfano.
Lakini kwa kuwa alieko madarakani ni kibaraka wao, wanajitahidi kwa kila namna kuficha udhaifu huu mkubwa aliouleta na kuitia aibu Marekani kwa kuachia nchi kwa Taliban kirahisi namna hiyo.
Biden badala ajitathmini mwenyewe, anahamisha zigo la lawama kwa serikali zilizopita.
Biden kaonyesha udhaifu mkubwa sana na ameitia sana aibu Marekani.