The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Biden anapataje aibu?
Kwani umeambiwa Afghanistan Ni Jimbo la marekani Lile?
Acheni waafghanistan waenjoyna nchi yao.
Ya kwako yamekushinda kazi kufuatilia ya wenzako! RubishNawaza, hivi ingekua Taliban wamechukua nchi kipindi cha Trump sijui ingekuaje, hiyo bado image ambayo Trump angepewa haina mfano.
Lakini kwa kuwa alieko madarakani ni kibaraka wao, wanajitahidi kwa kila namna kuficha udhaifu huu mkubwa aliouleta na kuitia aibu Marekani kwa kuachia nchi kwa Taliban kirahisi namna hiyo.
Biden badala ajitathmini mwenyewe, anahamisha zigo la lawama kwa serikali zilizopita.
Biden kaonyesha udhaifu mkubwa sana na ameitia sana aibu Marekani.
Unaeza ukawa unajua wajua kumbe hujui, mpango wa mmarekan kujitoa afghanistan ulikuwa wa trump, biden kakamilisha tu mpango aloukuta mezanNawaza, hivi ingekua Taliban wamechukua nchi kipindi cha Trump sijui ingekuaje, hiyo bado image ambayo Trump angepewa haina mfano.