joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Sawa alikuwa wa vijana na wewe vipi una yaamini haya mashudu aliyo ya andika jamaa.Nikupinge kwa ilo mkuu hakuwa msaidizi alikuwa coach wa Bayern munich under 21
Arteta, ozil, sanches, chambalaine, walcot, mtakatifu cazola, giroud, chec petr etc ndio uwafananishe naitopolo wa leista? Mpira umeujua wakari nabi ni kocha wa yanga weweNitajie mchezaji moja wa arsenal ambaye angeweza kuweka bench starting eleven ya leicester city 2015/16
Arteta, ozil, sanches, chambalaine, walcot, mtakatifu cazola, giroud, chec petr etc ndio uwafananishe naitopolo wa leista? Mpira umeujua wakari nabi ni kocha wa yanga wewe
Anawashwa huyo mashabiki wa man u Wana roho nyeusi sanaMbona sijaona kpopote ambapi pep amekiri kuisaidia aseno kimbinu, au mtoa mada unawasshwa makalio ?
Nawajua ndi mana nikawaita utopolo.Unawajua wachezaji waliobeba ubingwa wa leicester city au naongea na hii mishabiki ya simba na yanga usiyojua mpira
Kunywa maji mengi kwa afya ya akili
Hua nashangaaga sana nyie watu, haya we mtoa mada unataka nn yaan .Katika mahojiano Pep Gudiola aliulizwa maswali mengi ila ya kuhusu kumsaidia Arteta na arsenal,pep aligeuka mbogo
Mwanahabari: unamsaidia arteta kwenye mbinu za kushinda mechi?
Pep: swali gani hilo! Nina miaka 52 nimewahi kufika arsenal mara moja tu pale walipotusaidia uwanja na jinsi ya kumfunga manchester united kwenye fainali ya Uefa mwaka 2011
Mwanahabari: kwahiyo mnacheza mpira tofauti?
Pep: we unaonaje arsenal wanacheza zaidi na mawinga ili kushinda mechi sie manchester tunatumia zaidi viungo kushinda mechi lkn vitu vingine ni km tunaendana hivi lkn hii haimanishi kuwa namsaidia
Tulisema humu Arteta ni mid table team hapo arsenal ni swala la muda tu mashabiki wataanza kimkataa
Mnaona Sasa ndugu zangu kumbe bench la ufundi la Arsenal linategemea mbinu za kipara kushinda mechi tuombe Pep na arteta wasigombane otherwise gooners will sink, poor arteta
Itakuwa aibu ya karne kwa kikosi kibovu cha arsenal kuchukua ligi ya Epl,toka nianze kufuatilia hii ligi sijawahi kushudia timu mbovu kama inaongoza ligi
Leicester ilikuwa bora kuliko arsenal hii
Pep stop doing this bulshit
Inamsaada gani tukishajua huo utofauti??Ni Guardiola na sio Gudiola
Ili uondoe ujinga wako kichwani.Inamsaada gani tukishajua huo utofauti??
Hivi ni kwanini waTanzania walio wengi (sio wote) ni wapumbav na wajinga namna hii. Kwa mtindo huu nchi hii itaendelea kuwa maskini ikiwa tu wanamitizamo ya namna yakoKatika mahojiano Pep Gudiola aliulizwa maswali mengi ila ya kuhusu kumsaidia Arteta na arsenal,pep aligeuka mbogo