Vyombo vya habari vyamshukia Pep Gudiola kumsaidia Arteta jinsi ya kushinda mechi mwenyewe afura

Nitajie mchezaji moja wa arsenal ambaye angeweza kuweka bench starting eleven ya leicester city 2015/16
Arteta, ozil, sanches, chambalaine, walcot, mtakatifu cazola, giroud, chec petr etc ndio uwafananishe naitopolo wa leista? Mpira umeujua wakari nabi ni kocha wa yanga wewe
 
Waingereza washamba sana, wengi hawampendi Pep kisa anafunika rekodi zote za Ferguson EPL, na mpira anaoupiga Arteta roho zinawauma, hawataki iwe kwa Arsenal, wanapenda kama ingekuwa Liverpool au Man Utd.
 
Unawajua wachezaji waliobeba ubingwa wa leicester city au naongea na hii mishabiki ya simba na yanga usiyojua mpira
Arteta, ozil, sanches, chambalaine, walcot, mtakatifu cazola, giroud, chec petr etc ndio uwafananishe naitopolo wa leista? Mpira umeujua wakari nabi ni kocha wa yanga wewe
 
Attachments

  • 8633167C-8E10-4324-AC68-CF16A420AB76.jpeg
    8633167C-8E10-4324-AC68-CF16A420AB76.jpeg
    22.1 KB · Views: 6
Kwahiyo Pep amsaidie Arteta ku win mechi na wakati huo huo na yeye atake kushinda EPL?

Na mbona hizi taarifa hazipo Sky Sports au source nyengine za kueleweka badala yake unazo wewe tu?

Mashabiki wa Man Utd siku zote nawaambieni akili zenu zipo matakoni!

Mnaumia sana, mnakosa hadi usingizi kuiona Arsenal iko juu. Na tukichukua EPL msimu huu kuna baadhi yenu mtajinyonga kwa stress.
 
Katika mahojiano Pep Gudiola aliulizwa maswali mengi ila ya kuhusu kumsaidia Arteta na arsenal,pep aligeuka mbogo

Mwanahabari: unamsaidia arteta kwenye mbinu za kushinda mechi?

Pep: swali gani hilo! Nina miaka 52 nimewahi kufika arsenal mara moja tu pale walipotusaidia uwanja na jinsi ya kumfunga manchester united kwenye fainali ya Uefa mwaka 2011

Mwanahabari: kwahiyo mnacheza mpira tofauti?
Pep: we unaonaje arsenal wanacheza zaidi na mawinga ili kushinda mechi sie manchester tunatumia zaidi viungo kushinda mechi lkn vitu vingine ni km tunaendana hivi lkn hii haimanishi kuwa namsaidia

Tulisema humu Arteta ni mid table team hapo arsenal ni swala la muda tu mashabiki wataanza kimkataa

Mnaona Sasa ndugu zangu kumbe bench la ufundi la Arsenal linategemea mbinu za kipara kushinda mechi tuombe Pep na arteta wasigombane otherwise gooners will sink, poor arteta

Itakuwa aibu ya karne kwa kikosi kibovu cha arsenal kuchukua ligi ya Epl,toka nianze kufuatilia hii ligi sijawahi kushudia timu mbovu kama inaongoza ligi

Leicester ilikuwa bora kuliko arsenal hii

Pep stop doing this bulshit
Hua nashangaaga sana nyie watu, haya we mtoa mada unataka nn yaan .
Hua ni wivu au ni Nini.
 
Hivi ni kwanini waTanzania walio wengi (sio wote) ni wapumbav na wajinga namna hii. Kwa mtindo huu nchi hii itaendelea kuwa maskini ikiwa tu wanamitizamo ya namna yako
 
Umeona jinsi ulivyo kuwa wa hovyo huna akili ?
 
Back
Top Bottom