uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Katika mahojiano Pep Gudiola aliulizwa maswali mengi ila ya kuhusu kumsaidia Arteta na arsenal,pep aligeuka mbogo
Mwanahabari: unamsaidia arteta kwenye mbinu za kushinda mechi?
Pep: swali gani hilo! Nina miaka 52 nimewahi kufika arsenal mara moja tu pale walipotusaidia uwanja na jinsi ya kumfunga manchester united kwenye fainali ya Uefa mwaka 2011
Mwanahabari: kwahiyo mnacheza mpira tofauti?
Pep: we unaonaje arsenal wanacheza zaidi na mawinga ili kushinda mechi sie manchester tunatumia zaidi viungo kushinda mechi lkn vitu vingine ni km tunaendana hivi lkn hii haimanishi kuwa namsaidia
Tulisema humu Arteta ni mid table team hapo arsenal ni swala la muda tu mashabiki wataanza kimkataa
Mnaona Sasa ndugu zangu kumbe bench la ufundi la Arsenal linategemea mbinu za kipara kushinda mechi tuombe Pep na arteta wasigombane otherwise gooners will sink, poor arteta
Itakuwa aibu ya karne kwa kikosi kibovu cha arsenal kuchukua ligi ya Epl,toka nianze kufuatilia hii ligi sijawahi kushudia timu mbovu kama inaongoza ligi
Leicester ilikuwa bora kuliko arsenal hii
Pep stop doing this bulshit