Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakuu!
Katika pitapita zangu huko Mitandaoni nimekutana na page zaidi ya Tatu tofauti za Vyombo vya Habari vilivyoandika/kupost makala moja kuhusu Humphrey Polepole na wote wanahoji "Polepole ni Mzalendo wa kweli au Mjanja wa Siasa", ukitazama ni kama wametumiwa na mtu mmoja kisha wao wamepost tu.
Imekuaje wote waje na vichwa vya habari vinavyouliza kama ni “mzalendo wa kweli,” “mjanja wa kisiasa,” au vikielezea “mkanganyiko wa kauli zake.”

- Habari Digital
- Habari Mpya TV
- Bongo5