Vyombo vya habari vyavamia kambi ya Simba SC

Hivi mnajuwa kwamba hata chawa Mwijaku kila siku anaita press conference wa waandishi wanajazana?

Kazi ya waandishi ni kupata habari hapo kipi cha ajabu?

Kwanza kwa ukubwa wa Simba ilitakiwa isafiri na waandishi wa Tanzania iwagharamie ili waweze kucover story zote za pre season hata yule zeruzure mgonjwa wa akili asingepata nafasi ya kusema Simba imecheza na madereva tax wa Ismailia.
 
Mbona waandishi wandani nao wapo na wamekuwa waki link na azam media
 
Hivi mnajuwa kwamba hata chawa Mwijaku kila siku anaita press conference wa waandishi wanajazana?

Kazi ya waandishi ni kupata habari hapo kipi cha ajabu?

Kwanza kwa ukubwa wa Simba ilitakiwa isafiri na waandishi wa Tanzania iwagharamie ili waweze kucover story zote za pre season hata yule zeruzure mgonjwa wa akili asingepata nafasi ya kusema Simba imecheza na madereva tax wa Ismailia.
Nimemuona Patrick Nyembela yupo kule
 
Hujui tu mbona wapo wamesafiri wakiwemo wa Azam TV.
 
Sasa amekwenda kufanya nini kama anamuacha mwehu ambaye yupo kariakoo kupotosha?
Amewekwa pale kwa ajili ya propaganda na ili aonekane anafanya kazi lazima apotoshe, kama aliweza kusema kuwa Yanga itaanza First Round kwa sababu ya Ubingwa

Huku waandishi wa vyombo vya habari wapo kimya tena wengi, itakuwa kufua dafu kwa mwandishi mmoja wa Azam TV..!
 
Huyu swala lake inabidi limalizwe na TFF ili GSM wampe kazi kwenye maroli yao au kwenye maduka yao.

Hakuna kitu ananibowa kama press za Yanga kudandia na habari za Simba.
 
Hivi mnajuwa kwamba hata chawa Mwijaku kila siku anaita press conference wa waandishi wanajazana?

Kazi ya waandishi ni kupata habari hapo kipi cha ajabu?

Kwanza kwa ukubwa wa Simba ilitakiwa isafiri na waandishi wa Tanzania iwagharamie ili waweze kucover story zote za pre season hata yule zeruzure mgonjwa wa akili asingepata nafasi ya kusema Simba imecheza na madereva tax wa Ismailia.
umenikumbusha jamaa wanaochangiaga mada bila kusoma wala kuona video
 
One Team, One Dream

Imeonyesha Kweli Kambi Yao Ina Vitu Vya Ziada
Acha Walioko Matombo, Morogoro Wafute Kambi Za Nje Ya Tanzania
 
Hivi mnajuwa kwamba hata chawa Mwijaku kila siku anaita press conference wa waandishi wanajazana?

Kazi ya waandishi ni kupata habari hapo kipi cha ajabu?

Kwanza kwa ukubwa wa Simba ilitakiwa isafiri na waandishi wa Tanzania iwagharamie ili waweze kucover story zote za pre season hata yule zeruzure mgonjwa wa akili asingepata nafasi ya kusema Simba imecheza na madereva tax wa Ismailia.

Patrick Nyembera Yuko hapo
 
Sasa amekwenda kufanya nini kama anamuacha mwehu ambaye yupo kariakoo kupotosha?
Uzuri ni kuwa kila mwenye akili timamu anampuuza huyu sope,hata Yanga wenye kujitambua wanamdharau sana kwani ni kama anaitia doa brand yao
 
Back
Top Bottom