Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Kwa sababu kuna pumba nyingi zinasambaa ambazo hazina facts kuzisupport no matter facts hizo ni flawed au la, lakini ziwepo.Siku hizi umekuwa na hasira sana!
Lakini ninakuunga mkono kuhusu ngonjera hizi mpya tunazoziona sasa.