Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 17,048 Reaction score 22,790 Jun 29, 2021 #21 Kalamu1 said: Siku hizi umekuwa na hasira sana! Lakini ninakuunga mkono kuhusu ngonjera hizi mpya tunazoziona sasa. Click to expand... Kwa sababu kuna pumba nyingi zinasambaa ambazo hazina facts kuzisupport no matter facts hizo ni flawed au la, lakini ziwepo.
Kalamu1 said: Siku hizi umekuwa na hasira sana! Lakini ninakuunga mkono kuhusu ngonjera hizi mpya tunazoziona sasa. Click to expand... Kwa sababu kuna pumba nyingi zinasambaa ambazo hazina facts kuzisupport no matter facts hizo ni flawed au la, lakini ziwepo.
1 1954 JF-Expert Member Joined Nov 14, 2006 Posts 11,246 Reaction score 13,722 Jun 29, 2021 #22 Kiranga said: Labda vinakuja online. Inabidi tujifunze Kiswahili cha Unguja. Click to expand... Kuongezea..kuengezea
Kiranga said: Labda vinakuja online. Inabidi tujifunze Kiswahili cha Unguja. Click to expand... Kuongezea..kuengezea
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jun 29, 2021 #23 Hapa ndani hatuna vyombo vya habari isipokuwa tuna matawi ya CCM pekee
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Jun 29, 2021 #24 1954 said: Kuongezea..kuengezea Click to expand... Watanzania warahim sana.
Peril22 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2020 Posts 1,710 Reaction score 2,951 Jun 29, 2021 #25 Tanzania ni nchi pekee ambayo mtu yeyote anaweza kuwa rais na mambo yakaenda shikopa tu.
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,258 Reaction score 20,386 Jun 29, 2021 #26 Let's see what gonna happen!
K KalamuTena JF-Expert Member Joined Jul 7, 2018 Posts 13,187 Reaction score 17,167 Jun 29, 2021 #27 Kichuguu said: Kwa sababu kuna pumba nyingi zinasambaa ambazo hazina facts kuzisupport no matter facts hizo ni flawed au la, lakini ziwepo. Click to expand... Kwa mara nyingine nakubaliana na hilo la "uwepo wa pumba nyingi"; lakini hizi hazikuanza leo. JF ndilo limekuwa dimbwi la kila aina ya pumba zinazoibuliwa.
Kichuguu said: Kwa sababu kuna pumba nyingi zinasambaa ambazo hazina facts kuzisupport no matter facts hizo ni flawed au la, lakini ziwepo. Click to expand... Kwa mara nyingine nakubaliana na hilo la "uwepo wa pumba nyingi"; lakini hizi hazikuanza leo. JF ndilo limekuwa dimbwi la kila aina ya pumba zinazoibuliwa.
Uhakiki JF-Expert Member Joined May 18, 2017 Posts 7,288 Reaction score 7,704 Jun 29, 2021 #28 moyafricatz said: Hii nchi ni ngumu sanA Click to expand... Kwanini mkuu