A
Anonymous
Guest
Nina hoja kuhusu sekta ya madini ya kati (medium-scale mining), kuna malalamiko kwamba baadhi ya wageni wanafanya kazi migodini wakitajwa kama “experts”, lakini kuna maswali kuhusu qualifications, experience na uhalali wa vibali vyao vya kufanya kazi nchini.
Wakati huohuo, baadhi ya nafasi ambazo zinaweza kufanywa na wataalamu wa Kitanzania zinaonekana kupewa wageni.
Swali ni: Je, mamlaka zinazohusika hususan Wizara ya Kazi, Uhamiaji na mamlaka za kitaalamu zinafanya ukaguzi wa kutosha kuhusu work permits, qualifications na professional registration za wageni hawa? Kama kuna wageni wanaofanya kazi bila vibali au bila qualifications zinazotakiwa, hatua gani zimechukuliwa dhidi yao na waajiri wao?
Mamlaka za juu zielekeze uchunguzi kwasababu suala hili linaweza kuwa na athari kwenye ajira na fursa za wataalamu wa Kitanzania.