GE2025 Vyombo vya ulinzi acheni kutumia nguvu pasipo sababu za msingi, mkabiliane na vijana kwa namna walivyo

GE2025 Vyombo vya ulinzi acheni kutumia nguvu pasipo sababu za msingi, mkabiliane na vijana kwa namna walivyo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mwalimu Uzima Mkufunzi wa masuala ya amani kutokea Baraza Kuu la Waislama Tanzania (BAKWATA) amewakumbusha viongozi wa dini na wananchi juu ya uzalendo wa mtanzania ni kupiga kura huku akipita kwenye vitabu vya dini na maandiko matakatifu hakuna kitabu kilionekana kikipingana na serikali hivyo viongozi na wananchi jitokezeni kupiga kura ifikapo Oktoba 29.

Kumbuka kwa sasa vyama mbalimbali vya siasa nchini vinaendelea kunadi sera zao wa Watanzania ili kuomba ridhaa ya kuchaguliwa huku wananchi wakijiandaa na zoezi la upigaji wa kura huku zikiwa zimeslia siku kwa ajili ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu.

 
Back
Top Bottom