Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Vyombo vya ulinzi angalieni yaliyotokea kwenye uchaguzi wa CCM maeneo mbalimbali nchini. Swali kwenu kama wameutendea mti mkavu hivi vipi Kwa mti mbichi?
Kuna Uzi uliwekwa hapa asubuhi hapa Kwa kumpongeza Lissu kujitoa sadaka Kwa wengine na Mimi naunga mkono lissu ni kama mkombozi Kwa walio wengi ila Leo hamtamuelewa.
Chini ya Sheria hizi hapana aisee hili mkaliangalie vyombo vya ulinzi japo mnaegemea upande mmoja na kusahau majukumu yenu.