PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Huko Lindi - Oktoba 24, 2025. Vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoa wa Lindi vimefanya mazoezi ya kutembea (Route March) ya pamoja iliwa ni kawaida kwao kufanya hivyo. Mazoezi hayo yakiwa na lengo la kudumisha ushirikiano na mshikamano baina ya vyombo hivyo sambamba na kuimarisha afya ya mwili kwani mazoezi ni chakula cha askari.
Soma: Jeshi la polisi na vyombo vya ulinzi Morogoro limefanya mazoezi ya pamoja kuimarisha ushirikiano na usalama kwa jamii
Akiongea katika mazoezi hayo Afisa Mnadhimu wa Polisi mkoa wa Lindi Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Andrew Ngassa amesema mazoezi hayo hufanyika kila Ijumaa ya wiki kwa kukutanisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama mkoani humo lakini ni kawaida kwa kila chombo kufanya mazoezi hayo kwenye vikosi vyao kila siku.