Vyombo vya Ulinzi na Usalama vinasubiri nini Kushughulika na Huyu Adui wa Tanganyika?

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Tumeshuhudia maelfu ya Watanganyika wakimiminiwa risasi na kuuawa, miili yao haijulikani ilipo.

Vijana wasio na silaha kama Humphrey Polepole ametekwa na haijulikani yu wapi.

Watu kuzuiliwa kutoa maoni yao kwaajili ya kuisaidia nchi yao.

Wimbi la kesi za kipumbavu zinazopelekea serikali kutumia pesa nyingi huku ikijua fika hayo ni maigizo tu.

britanicca aka Ex Spy
 
"Silver or lead" (Spanish: "plata o plomo") was the famous ultimatum used by Colombian drug lord Pablo Escobar to coerce police, judges, and government officials.

Gg.
 
Tumeshuhudia maelfu ya Watanganyika wakimiminiwa risasi na kuuawa, miili yao haijulikani ilipo.

Vijana wasio na silaha kama Humphrey Polepole ametekwa na haijulikani yu wapi.

Watu kuzuiliwa kutoa maoni yao kwaajili ya kuisaidia nchi yao.

Wimbi la kesi za kipumbavu zinazopelekea serikali kutumia pesa nyingi huku ikijua fika hayo ni maigizo tu.

britanicca aka Ex Spy
Hivi wanashindwa nini na limshangazi?
 
Back
Top Bottom