Mkuu, PK anaweweseka sana. Anajua wazi kuwa Tanzania tupo imara sasa anatafuta namna ya kutuchafuaThis is just a trick to know how angry and sensitive we are!
Hizi ni chokochoko za kike, kwann wasifanye ambush zen waone moto wetu?!
PK somo la DRC halijamwingia vzr.
Unajua Watanzania waliowengi akili zao ziko kama za wehu kabisa hasa wewe hapo,unapewa taarifa hamna unachokijua,una shawishi uzi utolewe una akili wewe,?kwanza uache watu waseme wanayoyajua wanaweza kusaidia hata ulinzi wa nchi wewe kwa kutokujua unaanza toeni,toeni,inakusaidia nini wewe,unaweza kuwa wewe ni mmoja wa wavamizi unapaswa uchunguzwe uraia wako.Nimeshuhudia mada nyingi zikitolewa hapa jf kwa madai ya uchochezi kitu ambacho si kweli,badala ya kujadili ili wahusika wajijuwe,na wanaweza kubadilika nyie mnaondoa kama ni maumivu yanazidi kuongezeka,siku yakija kulipuka mtakuja juta,endeleeni na hiyo tabia.mods hebu toeni huu upuuzi, threads za hv znahamasisha chuki na vurugu
Kwenye hili siasa pembeni,nipo tayari kuifia nchi yangu pendwa tanzania.
"onyo paul kagame ni mtusi mmbaya sana! ,
ukifuatilia historia ya watusi utagundua agenda yao ya "hima empire" iliyokuwepo hapo zama.
Tatizo kubwa walilonalo hawa watusi hawajui kusamehe au kuzidiwa kwa na lolote na wakati wowote.
"tahadhari"
hawa watusi wa kinyarwanda ni wazuri kwa ujumla,hivyo hutuma mabinti kuja kusoma vyuo mbalimbali tanzania na africa mashriki nzima, lengo lao kuu ni kuwatega kwa mbinu zozote watoto wa wakubwa wa nchi ili kuolewa nao au kuzaa nao tu.
Na haya yote hufanywa chini y a makubaliano na serikali ya kagame.
Unaweza kujiuliza anawezaje kuua marafiki zake wa karibu?
Hii ni kutokana na viapo na mikakati waliyijipangia ili kabila dogo (tutsi) waweze kutawala wahutu na africa mashariki yote.
Niwaase watanzania tuwaepuke wanyarwanda kama ukoma.
'siyo chuki ila huo ndio ukweli wenyewe'.
Mkuu,
Habari kama hizi ni vizuri ku-acknowledge chanzo (source) yake especially kama wewe si mwandishi wake.
hawa watutsi huwa wanajifanya kusahau kuweka source. Hii ni kwa sababu source huwa ni magazeti ya chama chao cha RPF, hivyo ukitembelea kwenye source utaona na habari nyingine za kipropaganda-propaganda na hivyo itaathiri hata mtazamo wako juu ya habari waliyotuletea.
Habari hii inapatikana hapa: Ex-PM Twagiramungu is special guest of Tanzanian President Kikwete News Of Rwanda – Rwanda News
Nawashangaa watanzania mbona povu linawatoka wakati ingetakiwa wanyarwanda kuchukia kitendo cha jk kumkaribisha FDLR tz,sasa ingekuaje kama pk angemualika adui yenu watanzania?
Tutajie adui mmoja tu wa Tanzania... ukiiacha malawi, ambayo ni sawa na radio iliyoishiwa betri..