Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujanielewa,na maana wewe jiweke nafasi ya rwanda,ndio utaona na kumuelewa vizuri pk.
inaelekea huyu koba ni kagame mwenyewe
kwani huyu mzee si alikuwa pm akiwa rpf sasa ana uadui gani na rwanda!!!!
Tatizo ndani ya system kumejaa watusi... hata JK analifahamu hilo...
inaelekea huyu koba ni kagame mwenyewe
propaganda tu hizo.wanahamu tukawachape. Wakileta ujinga ndani ya siku moja tunakunywa chai kigali,we waache tu!
MUKAMASIMBA,Nawashangaa watanzania mbona povu linawatoka wakati ingetakiwa wanyarwanda kuchukia kitendo cha jk kumkaribisha FDLR tz,sasa ingekuaje kama pk angemualika adui yenu watanzania?
Hakuna cha propaganda
hapo,tatizo wanyarwanda inteligensi yao iko juu,wanajua kinachoendelea
tz,sasa kama nyie hamkuzikamata ni uwezo wenu mdogo,habari ndio
hiyo,kingine nikwamba rwanda haina haja ya kuanzisha vita na taifa kubwa
lenye nguvu kama tanzania wanalijua hilo,sasa mkiambiwa ukweli eti
propaganda.
EEEEH
Yupo Tanzania...
Njooni majasusi ya Kitutsi....
Watutsi wanapenda ugomvi wa mawe huku wanaishi kwenye nyumba ya vioo
bora umekiri mwenyewe kuwa rwanda haiwezi tz
Ndugu yangu, hapa nchini wamejaa watutsi kibao; wengine wapo kwenye sehemu nyeti za serikali, hadi benki kuu wapo. Sasa usione ajabu akitokea mtu anayetoa mawazo kama hayo kwamba uzi kama huu ufutwe. Ujue mtu wa aina hiyo ni mtutsi; hawa watu ni kuwa makini nao sana; hatuhitaji kuwa naive tena; vinginevyo tutakuwa kama Mashariki ya Kongo.... anayeona uzi haumfai akae pembeni.. usalama wa nchi yetu kwanzaUnajua Watanzania waliowengi akili zao ziko kama za wehu kabisa hasa wewe hapo,unapewa taarifa hamna unachokijua,una shawishi uzi utolewe una akili wewe,?kwanza uache watu waseme wanayoyajua wanaweza kusaidia hata ulinzi wa nchi wewe kwa kutokujua unaanza toeni,toeni,inakusaidia nini wewe,unaweza kuwa wewe ni mmoja wa wavamizi unapaswa uchunguzwe uraia wako.Nimeshuhudia mada nyingi zikitolewa hapa jf kwa madai ya uchochezi kitu ambacho si kweli,badala ya kujadili ili wahusika wajijuwe,na wanaweza kubadilika nyie mnaondoa kama ni maumivu yanazidi kuongezeka,siku yakija kulipuka mtakuja juta,endeleeni na hiyo tabia.
Mkuu, upo sahihi kabisa; HATUHITAJI KUCHUKULIA EASY TU HABARI KAMA HII!... as you said, this is propaganda, watutsi ni wazuri sana wa ku frame habari ili wapate "HURUMA" kutoka kwa mataifa mengine na pia naona wanatafuta sababu za kuichokoza TZ kwa sababu tulichangia TROOPS huko Eastern DRC ambako hao watutsi (M23) nduguze kagame na museveni wapo wakitafuta uwezekano wa kutimiza ndoto zao za kutengeneza 'bahima empire"!MUKAMASIMBA,
Unashangaa kwanini Watanzania wanahemuka kwa jazba? Hivi unafahamu maana ya propaganda? Leo hii Tanzania ikitaka kuishambulia Rwanda au nchi yoyote ile, kitu cha kwanza ni ku-frame propaganda! Wakati George Bush anataka kuivamia Iraq, alianza kwanza kutangaza kwamba Iraq wana Weapons of Mass Destruction (WMD). Wakati Amin anataka kuivamia Tanzania alianza kwanza kutangaza kwamba Mkoa wa Kagera ni sehemu ya Uganda! Sisemi kwamba hiyo habari ya News of Rwanda nayo ni propaganda ya Rwanda dhidi ya Tanzania but no one peace of information need to be ignored in any way provided it's interest in national security! Media inapoandika kwamba J.K amemkaribisha mbaya wa Kagame tena kama special guest huku akipewa hifadhi ya siri, hapo ni kwamba panatengenezwa kitu. Na kwa jinsi haya mambo yalivyo, watengenezaji kila cku watakaa pembeni kusubiri reaction. Na kwa kumfahamu jinsi Kagame alivyo, hatutashangaa hata siku moja akija kutoa kauli za hovyo hovyo dhidi ya Tanzania/JK. So, shouldn't Tanzanians be curious about the news?
hahahaha RWANDA RWANDA, you guys are ubeliavable...ni sawa na msanii mdogo kutafuta umaarufu kupitia jina la msanii mkubwa...toka lini intelijensia ya RWANDA kawa juu ya CIA wa Afrika????