JMali kiongozi wangu kuna tofauti kubwa kati ya kumsikiliza na hosting a dangerous man like Twagiramungu. A man who has vowed to remove a democratically elected government (Rwanda) through violent means i.e. an armed invasion. Huyu ni mtu hatari sana kwa mustakabali wa amani ya maziwa makuu kwa ujumla. Yeyote anayejumuika na wauaji wa FDLR (hili halina ubishi) ni muuaji pia. Twagiramungu hana shukrani na hakubaliki nchini Rwanda. Aligombea na kuambulia asilimia 3 tu ya kura zote, akakimbia. Bosi wake Bizimungu akaleta siasa zake za ukabila, akafungwa kwa mujibu wa sheria.
Bizimungu was pardoned unconditionally by Pres Kagame in the spirit of nation building, forgiveness and reconciliation (ah baba Kagame, uendelee na moyo huo huo wa kusamehe). Bizimungu karudi nyumbani kwake Kigali anaishi vizuri tu. Sipendi kuona raisi wangu akimkirimu dhalimu mnafiki mbinafsi na mkabila kama Twagiramungu. Sasa hivi mtaelewa ni kwanini Rais Kagame alikasirishwa na maneno ya Rais wangu Kikwete kuhusu mazungumzo na FDLR. Huwezi ukakaa na wauaji wanaopanga na kuendeleza mashambulizi dhidi yako na wananchi wako mkaongea. Hakuna cha kuongea. Mbona refugees majority wamerudi Rwanda and are now prospering and basking in the sweet ambiance of non-tribal based success. Hao FDLR ni remnants wa ex-FAR and interahamwe with blood in their hands ndio maana hawawezi kurudi nyumbani ila kwa njia ya mtutu, wameumia RPA, RDF wako makini sana.
Ninarudia tena, ule wakati wa kutuaminisha kuwa FDLR simply ni wauaji tu umeshapitwa na wakati, we know the truth. Kulikuwa na vita vya miaka minne kati ya waasi wa RPA (wakiongozwa na kagame/Rwigema) vs Taifa huru la Rwanda (jeshi la FAR). Sasa ukiondoa habari ya 'genocide',
vile vita bado havikuisha! Kagame alipindua nchi na jeshi la FAR likahamia congo na kuji-reinvent kuwa FDLR (ikiwa both a political party +jeshi). Wananchi wa Rwanda hawakumchagua kagame, kagame imposed himself! Jeshi la kitutsi la RPF halire-present wanyarwanda wote, lina-represent watutsi tu ambao hawavuki 15%. Kwa majority ya wanyarwanda serikali ya RPF ni serikali ya kikoloni tu, serikali yao ni FDLR! Of course tatizo ni kuwa right now Kagame ameshikilia mpini (support of international (read america) community), so the Hutus are silent
for now. lakini let me tell you, if a day should come jeshi la FDLR likaingia Rwanda, utashangaa jinsi majority watavyolisupport!
Kagame anaogopa FDLR kwa kuwa bado kwenye international community especially African countries zenye akili kama Tanzania, tunafahamu kuwa FDLR (formerly FAR) ndio kundi lenye uhalali wa kuongoza Rwanda. Kagame alikuwa puppet tu wa Marekani kwa ajili ya kuondoa influence ya France nchini congo (kumpindua Mobutu), ili ihamie marekani (installing L. kabila). So you can't simply wish FDLR away, ni serikali halali iliyopinduliwa na waasi wa RPA.
Ndio maana kwa upande mwingine wako members wa FDLR waliokuwa bribed na kagame na sasa wamerudi Rwanda kushirikiana na serikali. Hii inawezekana vipi kama FDLR walikuwa kundi la wauaji tu? si wangeshtakiwa? Ukweli ni kuwa FDLR is a very strong political force. Ndio maana hata RPF wanaotofautiana na kagame wanaunda alliance na FDLR, kwani wanajua kuwa propaganda zao walizokuwa wanapiga dhidi ya FDLR zilikuwa uongo mtupu. Inakuingia akilini mtu kama Nyamwasa au karegeya kujiunga na FDLR kirahisi rahisi tu kama definition ya FDLR ndio hiyo uliyonayo wewe? Inaingia akilini hao FDLR wenyewe kukubali kujiunga na ex-RPF members kama hao, ikiwa FDLR are simply "tutsi killers/genocidaires"? Hii inawezekana tu, pale ambapo FDLR ni tofauti na unavyodai wewe.
FDLR sasa inaungwa mkono hata na watutsi ex-RPF kama marehemu karegeya, nyamwasa, rudasingwa na wengineo hili ndilo tatizo kwa Kagame. Propaganda za kwamba FDLR ni hutu extremists sasa zinaanza kuonekana kuwa ni uongo, FDLR inaanza kuwa ya wote.
Kwa upande wetu Tanzania whether we are hosting or listening to anybody, it shouldn't matter to anybody else, especially Kagame. Uganda hosted Kagame did you say anything? we hosted L. Kabila did you say anything? all these went on to remove democratically elected governments didn't they? Tanzania ina haki ya kuamua uhalali wa kumu-host whoever we like. Kwa nini ilikuwa halali kwetu kumu-host
muasi L.kabila? Tuliona kuwa kwa mawazo yetu
his fight was legitimate.
Vivyo hivyo kama tumeamua kuwasikiliza FDLR (and i dont say we do) it is entirely our business, unless ni kinyume na international law. Lakini hili la ku-act as if Twagiramungu ni Osama bin Laden hatukubaliani nalo. Ubaya wake au uzuri wake tutaamua sisi, tutawapima FDLR kwa akili zetu.