Vyombo vya ulinzi vya Tanzania jiandaeni na uvamizi wa majasusi wa Rwanda. Sababu ni hii hapa...

Vyombo vya ulinzi vya Tanzania jiandaeni na uvamizi wa majasusi wa Rwanda. Sababu ni hii hapa...

Wafike marangapi, Kama walikuwa na kijana makao makuu ya jeshi akiwafundisha mabigi jinsi ya Kubofya Komputa unategemea nini?

In short wakati TISS ipo busy na upinzani, Kagame anaendelea kutafuta siku ya kum-HIT MKULU.

Hope TISS ya Jeshi inafanya kazi vizuri, japo pia nashaka na yenyewe ipo Busy na uchaguzi kama huko kenya tulivyosikia odinga akililaumu jeshi kushiriki wizi wa Kura.

Hahaha haha....
Mkuu kama ulikuwepo vile. Wakati usalama wa nchi wapo busy na chadema, afisa wa jeshi anakimbia na data za kiintelijensia za jeshi. Patamu hapo.
Mungu ibariki Tanzania.
Tutarudi na roho zetu.
 
Tuacheni mawazo ya vita watanzania wenzangu,kwani ikitokea madhara lazima yawepo pande zote.

Pili sisi sio wasemaji wa masuala ya usalama ya nchi,wenyewe wameshapita hapa na kujua kama hii ni pumba,propaganda ama chochote kila na kujua wafanye nini.

Mwisho hao mnaoita watutsi,wahutu nk ndani ya vyombo vyetu vua usalama ni watanzania wenzetu wa asili hivyo tuache ubaguzi.na kwa maoni yangu kuna faida nyingi kuwa nao kuliko hasara,angalia vyombo vya usalama vya usa utanielewa.

Je unazijua sera za usalama wa taifa za marekani ? Au unaongea tu?
 
This is just a trick to know how angry and sensitive we are!
Hizi ni chokochoko za kike, kwann wasifanye ambush zen waone moto wetu?!
PK somo la DRC halijamwingia vzr.

Hakuna cha trick hapo rwanda wana full information kwamba kikwete hajaachana na mpango wake wakuleta vurugu rwanda,na ndio maana baada ya TWAGIRAMUNGU kutangaza kujiunga na FDLR alialikwa na jk,na hapo hapo UN na congo watoa report kwamba M23 ina fundishwa rwanda,mara MUNUSCO inaombwa kupambana na FDLR wanasema eti hawawezi kuwashambulia,nafikiri unaweza kuona jinsi haya yote yalivyo na uhusiano wa kutaka kuleta matatizo rwanda,sasa nachoweza kukuambia pindi tz itajaribu kuingia rwanda huo ndio utakua mwanzo wa kusambaratika kwa taifa la tanzania,bora muangalie yenu zaidi ya kujitafutia matatizo kwani mliyonayo nayo si mepesi.
 
Je unazijua sera za usalama wa taifa za marekani ? Au unaongea tu?

Watanzania mnataka kujiingiza kwenye mambo ambayo hamko familia nayo,hamjawahi kukosa amani nchini hata siku moja,sasa mnataka kujivutia matatizo ambayo hamtayaweza kuyakabili my advise achana na rwanda,deal na matatizo yenu ya CCM.
 
Hakuna cha trick hapo rwanda wana full information kwamba kikwete hajaachana na mpango wake wakuleta vurugu rwanda,na ndio maana baada ya TWAGIRAMUNGU kutangaza kujiunga na FDLR alialikwa na jk,na hapo hapo UN na congo watoa report kwamba M23 ina fundishwa rwanda,mara MUNUSCO inaombwa kupambana na FDLR wanasema eti hawawezi kuwashambulia,nafikiri unaweza kuona jinsi haya yote yalivyo na uhusiano wa kutaka kuleta matatizo rwanda,sasa nachoweza kukuambia pindi tz itajaribu kuingia rwanda huo ndio utakua mwanzo wa kusambaratika kwa taifa la tanzania,bora muangalie yenu zaidi ya kujitafutia matatizo kwani mliyonayo nayo si mepesi.

Nyinyi mnafanya nini katika security council ya hiyo hiyo UN unayoilalamikia? Hizo report za Twagiramungu na FDLR na Kikwete zinathibitishwa wapi pengine zaidi ya vigazeti vyenu vya RPF?
 
Mkuu upo saw a Kabisa. Ningekuwa mkurugenzi kule usalama wa nchi ningekupa kitengo cha propaganda. You're very intelligent.
Hahahahaha, tena kitengo cha propaganda za kwenye media peke yake kisingenitosha; ningetamani sana nipate kile cha ku-frame sababu za kumchapa Kagame hadi kila mtu duniani aridhike pasipo na shaka yoyote kwamba Tanzania ilikuwa na kila sababu ya kumchapa Kagame kama ambavyo Hayati Mwalimu alivyokuwa amepata sababu za kumchapa Amin hadi kila mmoja duniani akaridhika kwamba Amin had to go whether voluntarily or otherwise!!!
 
Hakuna cha trick hapo rwanda wana full information kwamba kikwete hajaachana na mpango wake wakuleta vurugu rwanda,na ndio maana baada ya TWAGIRAMUNGU kutangaza kujiunga na FDLR alialikwa na jk,na hapo hapo UN na congo watoa report kwamba M23 ina fundishwa rwanda,mara MUNUSCO inaombwa kupambana na FDLR wanasema eti hawawezi kuwashambulia,nafikiri unaweza kuona jinsi haya yote yalivyo na uhusiano wa kutaka kuleta matatizo rwanda,sasa nachoweza kukuambia pindi tz itajaribu kuingia rwanda huo ndio utakua mwanzo wa kusambaratika kwa taifa la tanzania,bora muangalie yenu zaidi ya kujitafutia matatizo kwani mliyonayo nayo si mepesi.

Makaburu na Wareno waliongea hivyo hivyo kama unajua historia
 
Nyinyi mnafanya nini katika security council ya hiyo hiyo UN unayoilalamikia? Hizo report za Twagiramungu na FDLR na Kikwete zinathibitishwa wapi pengine zaidi ya vigazeti vyenu vya RPF?

Source New Times
 
Watanzania, wale 100% natural tuwaogope Watutsi kwa lipi hasa?! Binafsi wala hawanisumbui. Lakini labda tu nikuambie kwamba binafsi nakerwa sana tena sana na hizi reference zenu za Watutsi na Wahutu. Binafsi nimetoa michango mingi sana humu jamvini kuhusu siasa za Rwanda, TZ na DRC. Ukiona nimetaja makabila basi ujue nililazimika kufanya hivyo na hapakuwa na muda otherwise niwe nimeghafirika. Kwa mfano, kuna wakati nililazimika kutaja Watutsi mara kadhaa kwavile nilikuwa naisimulia historia yao from back 17 centuries hadi wanaingia Rwanda na kuwakuta wenyeji Wahutu mpaka kufikia kipindi cha ukoloni kuingia Afrika! Katika mazingira kama hayo, utagundua sikuwa na jinsi zaidi ya kutaja Watutsi, watutsi, watutsi! Kwa mtu anayeifahamu historia ya Rwanda, anafahamu wazi kwamba Rwanda hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzake hususani linapokuja suala la racial/tribunal discrimination. Watutsi wamewa-harass Wahutu na Wahutu wamewa-harass Watutsi kila kabila moja wapo linapopata nafasi hiyo.

Labda nikupe msimamo wangu linapokuja suala la Rwanda....sina tatizo na Wanywarwanda kama Wanywarwanda bila kujali makabila yao; tatizo langu mimi ni Kagame Regime. Huyu sipendi kumuona akiwa madarakani japo kwa dakika moja ya ziada. Kwangu Kagame ni Man of War, along with Museven....kwa mtazamo wangu hawa wote ni watu wasiopaswa kabisa kuwamo madarakani angalau kwa cku moja ya ziada.

Ni ukweli usiopingika kwamba Tanzania kuna Wanywarwanda wengi wanaoshika nafasi serikalini lakini wala siamini kwamba hilo linatokana na ujasusi wa "Watutsi" wa kutaka kujichomeka hapa na pale ili kufikia malengo yao! Hili limetokea kutokana na historia ya Rwanda. Wakoloni waliwapendelea sana Watutsi wakati wa utawala wao, Watutsi wakaitumia nafasi hiyo kuwakandamiza Wahutu. Wakoloni walipojiona wanataka kuondoka Rwanda, wakaacha madaraka mikononi mwa Wahutu...Wahutu wakaamua kulipiza kisasi na kuanza kuwakandamiza Watutsi. Usalama wa Watutsi wengi ukawa mashakani na hivyo kuwalazimisha kuikimbia Rwanda na wengi kuja Tanzania. Walipokuwa Tanzania, hawakubaguliwa kutokana na status yao ya ukimbizi....wengi walienda shule na kupata ajira sehemu mbalimbali ikiwamo serikalini. Hiki ndiyo ninayoamini ni sababu ya Wanyarwanda kuwamo kwenye taasisi zetu. Tanzania iliamua kuwa waungwana kwa kuwaona kwamba ni ndugu zetu. Humu ndani kuna watu sehemu hii na ile, inawezekana wapo wenye ushahidi kwamba kuna baadhi ya Wanyarwanda, hususani Watutsi ambao wana-betray ukarimu wetu! Na watu wanapowasema sio kwamba Watanzani wanawaogopa Watutsi; hatuna cha kuwahofia! Inawezekana vipi watu 46 million wawaogope 2 million?

Lakini kwa upande mwingine, mtu aliye makini anaweza kubaini kwamba humu jamvini kuna siasa za chuki kati ya Wahutu na Watutsi. Si kila anayemshambulia Kagame na Watusti humu ndani ni Mtanzania, nimegundua wengine ni Wahutu wanaojivika Utanzania. Na kutokana na siasa za Kagame zinazowakera wengi, Kagame amejikuta akiwa si kipenzi cha Watanzania( kuna juha mmoja akadai eti tunaionea wivu Rwanda, cjui wivu kwa lipi!!). Kwahiyo anapokuja Mhutu katika sura ya Mtanzania na kuanza kumshambulia Kagame na Watutsi; some fellow Tanzanians huwa wanajikuta wakiunga mkono bila kufahamu kwamba wana-support siasa zilezile za chuki za Watutsi na Wahutu! Am afraid hata wewe, bado una ka-element kale kale! Nitakaa kusubiri comment zenu siku Rwanda itakapokuja kuongozwa na Muhutu...nasema hayo kwa sababu nina mashaka ikiwa hata nyinyi mnachokifanya ni kuitetea Rwanda inayoongozwa na Mnyarwanda au mnaitetea Rwanda inayoongozwa na Mtutsi! Ikiwa mnaitetea Rwanda inayoongozwa na Mnyarwanda, well done; bravo and keep it up! Naichukia Kagame Regime but you have all rights to defend it IF and ONLY IF mnasukumwa na Unyarwanda wenu, otherwise am very sorry for y'all!

That gud comment bro.
 
Hivi huyu anagonga keyboard za digital device yake akiwa wapi? Kama yukoTz asakwe awe assassinated haraka. TISS please do the needful , we don't need this clap

Wow wow! kuandika natakiwa niuawe? sasa mimi siwaelewi watu kama nyie kumchukia pk eti kaua mtu ambaye alitangaza kuanzisha vita dhidi ya rwanda? kumbe hata tanzania hako kamchezo mnakajua ahahah,nawasubiri nikotayari kufa lakini ukweli nitawambia.
 
hawa watutsi ni janga ndio maana nikiendaga kigali huwa nawagonga sana dada zao wenye ma.ta.ko makubwa bure

ahahah siuseme ukweli? unaenda kutafuta warembo na kukuchomoa vipesa ambavyo vingesaidia familia yako,eti nikuwakomoa? pole sana nachojua unawapenda.
 
huyu atakuwa anaiishi mikocheni na ukitaka kumuua mtafuteni baaaa sura yake imekaa kilevi levi tuuu
 
Hapa wanyarwanda nawaona wanajitahidi kumtetea Kagame wamesahau Kuwa Operation Kimbunga inakuja tena kwa Mara ingine na Safari hii itaendeshwa kisayansi sana tena jijini Dsm ndipo patalengwa sana Kila Mtanzania atakayeweza kumtaja Mnyarwanda anayeishi kinyume cha sheria atalipwa motisha sasa kaeni mkao wa kuludi Kwenu moja kwa moja si Kama ilivyokuwa ile Operation iliyopita

Msitishie watu kimbunga,cha muhimu ni kwamba watakua wanarudi nyumbani kwao na kuungana nawenzao kuijenga rwanda na kuwa imara na wamoja na hapo ndio watajua hakuna mtu yeyote anaye wapenda na hii itawapa nguvu ya kuungana na kua na nguvu wakijua kama watusi inabidi kushikamana na kujilinda kwa hali na mali na ikibidi damu imwagike kwani wamechoka kuuawa.
 
Hii chuki inayo pandikizwa dhidi ya watusi ni advantage kwa watusi kwani inawafanya kua more united na siku watusi wote wakiungana kutokana na chuki za waafrika wenzao basi haitakua rahisi kwa nchi yoyote kuigusa serikali ya kigali,tena itatawala milele na milele.
 
[h=1]NC, FDLR holding talks at President Kikwete residence[/h]

Dr Theogene Rudasingwa (R) with Condo Gervais are the ones meeting FDLR commanders in Tanzania on behalf of RNC

Two founding members of the Rwanda National Congress (RNC) including Dr Theogene Rudasingwa are meeting in Dar es Salaam with top FDLR rebel commanders at the private residence of Tanzanian president Jakaya Kikwete, say our sources. The two delegations arrived at the Dar es Salaam venue on Thursday (23[SUP]rd[/SUP] January), according the sources in Tanzania. RNC coordinator Dr Theogene Rudasingwa and adviser Condo Gervais are representing RNC. FDLR is being represented by its executive secretary Lt Col Wilson Irategeka and Col Hamadi, the operations commander. Lt Col Wilson Irategeka is the current public face of the Rwandan FDLR rebels very often appearing in media interviews. However, these are not his real names, as he is called Ndagijimana. Both Dr Rudasingwa and Condo are based in Washington. The FDLR officers are travelling on Tanzanian passports, which is how FDLR emissaries have travelled previously. It is not entirely clear if the passports are provided officially by the State of Tanzania, or have been obtained via the backdoors by an elite faction to avoid public scrutiny. As News of Rwanda reported this past week, former prime minister Faustin Twagiramungu was in Tanzania on the same mission since 19[SUP]th[/SUP] January. However, he left Tanzania on Thursday for Lyon (France) where there was to preside over a scheduled delegates conference of his political group RDI Rwanda RWIZA on Saturday. Twagiramungu left before the RNC team arrived. Meanwhile, Twagiramungu was also supposed to be at the same Dar es Salaam venue with RNC and FDLR, but had to leave for Lyon. News of Rwanda has not been able at this point to establish why exactly Twagiramungu chose to stay away. However, what is publicly known is that the former PM does not want to ever again go into a political marriage with a group involving the four RNC founders. As the first post genocide prime minister, Twagiramungu resigned from government barely a year later. The ex-PM remains bitter with especially Dr Theogene Rudasingwa and Kayumba Nyamwasa for making his job impossible for him until he threw-in the towel. The two men were very senior officials wielding enormous political and military power. Twagiramungu and several other Rwandan extremist groups have vowed never to go into political alliance with people who formed the establishment back in Rwanda, only to fall out of favour. For example, many of the exiled extremist politicians accuse former prosecutor general Gerald Gahima of witching-hunting them with fabricated genocide charges. Many say they had to buy their freedom even when they were innocent just to keep Gahima away from their tracks. According to our sources, it is not the first time RNC emissaries representing its founder Kayumba Nyamwasa, have met FDLR rebels. As recent as around 20[SUP]th[/SUP] December 2013, the same Lt Col Wilson Irategeka and Col Hamadi travelled on Tanzanian passports to Mozambique for clandestine talks with the RNC emissaries. As has been reported, Tanzania's insider establishment is providing the base for organization and facilitation for travel to the FDLR rebels. Around mid-last year, FDLR deputy commander General Stanislas Nzeyimana (aka Izabayo Bigaruka) was announced to be in Tanzania. But weeks later, news surfaced that he had disappeared – prompting questions as to why he was in Tanzania in the first place. In Tanzania, the opposition is not impressed with President Kikwete's overtures to the FDLR. Back in August last year, CHADEMA, the biggest opposition party in Tanzania, accused President Kikwete of not walking the talk back home but interfering in internal affairs of Rwanda. "There is no prudence in President Kikwete's statement that Rwanda should have talks with the FDLR" militia group which has been in the DR Congo jungles since 1994, said Dr. Wilbroad Slaa, CHADEMA's General Secretary at the time. "How come President Kikwete cannot negotiate with opposition here at home," Dr Slaa reportedly said at a CHADEMA Youth conference for economic and employment (BAVICHA) in Dar es Salaam. He added: "… [President Kikwete] has not taken any measure against the murderers of journalist Daudi Mwangosi…He (Kikwete) was advised to take measures against police commander in Iringa Region (Province) Michal Kamuhanda but instead he has promoted him."
..................................................................................................................................................................

At least now we are seeing the true colors of our neighbours...wolves in sheep skin...no wonder Tanzania is doing all it can to get out of EAC so that it can openly sabotage other countries in the community without being bound by the protocols.
 
Watanzania, wale 100% natural tuwaogope Watutsi kwa lipi hasa?! Binafsi wala hawanisumbui. Lakini labda tu nikuambie kwamba binafsi nakerwa sana tena sana na hizi reference zenu za Watutsi na Wahutu. Binafsi nimetoa michango mingi sana humu jamvini kuhusu siasa za Rwanda, TZ na DRC. Ukiona nimetaja makabila basi ujue nililazimika kufanya hivyo na hapakuwa na muda otherwise niwe nimeghafirika. Kwa mfano, kuna wakati nililazimika kutaja Watutsi mara kadhaa kwavile nilikuwa naisimulia historia yao from back 17 centuries hadi wanaingia Rwanda na kuwakuta wenyeji Wahutu mpaka kufikia kipindi cha ukoloni kuingia Afrika! Katika mazingira kama hayo, utagundua sikuwa na jinsi zaidi ya kutaja Watutsi, watutsi, watutsi! Kwa mtu anayeifahamu historia ya Rwanda, anafahamu wazi kwamba Rwanda hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzake hususani linapokuja suala la racial/tribunal discrimination. Watutsi wamewa-harass Wahutu na Wahutu wamewa-harass Watutsi kila kabila moja wapo linapopata nafasi hiyo.

Labda nikupe msimamo wangu linapokuja suala la Rwanda....sina tatizo na Wanywarwanda kama Wanywarwanda bila kujali makabila yao; tatizo langu mimi ni Kagame Regime. Huyu sipendi kumuona akiwa madarakani japo kwa dakika moja ya ziada. Kwangu Kagame ni Man of War, along with Museven....kwa mtazamo wangu hawa wote ni watu wasiopaswa kabisa kuwamo madarakani angalau kwa cku moja ya ziada.

Ni ukweli usiopingika kwamba Tanzania kuna Wanywarwanda wengi wanaoshika nafasi serikalini lakini wala siamini kwamba hilo linatokana na ujasusi wa "Watutsi" wa kutaka kujichomeka hapa na pale ili kufikia malengo yao! Hili limetokea kutokana na historia ya Rwanda. Wakoloni waliwapendelea sana Watutsi wakati wa utawala wao, Watutsi wakaitumia nafasi hiyo kuwakandamiza Wahutu. Wakoloni walipojiona wanataka kuondoka Rwanda, wakaacha madaraka mikononi mwa Wahutu...Wahutu wakaamua kulipiza kisasi na kuanza kuwakandamiza Watutsi. Usalama wa Watutsi wengi ukawa mashakani na hivyo kuwalazimisha kuikimbia Rwanda na wengi kuja Tanzania. Walipokuwa Tanzania, hawakubaguliwa kutokana na status yao ya ukimbizi....wengi walienda shule na kupata ajira sehemu mbalimbali ikiwamo serikalini. Hiki ndiyo ninayoamini ni sababu ya Wanyarwanda kuwamo kwenye taasisi zetu. Tanzania iliamua kuwa waungwana kwa kuwaona kwamba ni ndugu zetu. Humu ndani kuna watu sehemu hii na ile, inawezekana wapo wenye ushahidi kwamba kuna baadhi ya Wanyarwanda, hususani Watutsi ambao wana-betray ukarimu wetu! Na watu wanapowasema sio kwamba Watanzani wanawaogopa Watutsi; hatuna cha kuwahofia! Inawezekana vipi watu 46 million wawaogope 2 million?

Lakini kwa upande mwingine, mtu aliye makini anaweza kubaini kwamba humu jamvini kuna siasa za chuki kati ya Wahutu na Watutsi. Si kila anayemshambulia Kagame na Watusti humu ndani ni Mtanzania, nimegundua wengine ni Wahutu wanaojivika Utanzania. Na kutokana na siasa za Kagame zinazowakera wengi, Kagame amejikuta akiwa si kipenzi cha Watanzania( kuna juha mmoja akadai eti tunaionea wivu Rwanda, cjui wivu kwa lipi!!). Kwahiyo anapokuja Mhutu katika sura ya Mtanzania na kuanza kumshambulia Kagame na Watutsi; some fellow Tanzanians huwa wanajikuta wakiunga mkono bila kufahamu kwamba wana-support siasa zilezile za chuki za Watutsi na Wahutu! Am afraid hata wewe, bado una ka-element kale kale! Nitakaa kusubiri comment zenu siku Rwanda itakapokuja kuongozwa na Muhutu...nasema hayo kwa sababu nina mashaka ikiwa hata nyinyi mnachokifanya ni kuitetea Rwanda inayoongozwa na Mnyarwanda au mnaitetea Rwanda inayoongozwa na Mtutsi! Ikiwa mnaitetea Rwanda inayoongozwa na Mnyarwanda, well done; bravo and keep it up! Naichukia Kagame Regime but you have all rights to defend it IF and ONLY IF mnasukumwa na Unyarwanda wenu, otherwise am very sorry for y'all!

NasDaz...hapo kweny nyekundu ndio sisi tunaogombana nao. Sisi kama wanyarwanda hatuna kabisa matatizo na watanzania. wengi wetu tumezaliwa huko na kukuli huko. Kurudi kwetu rwanda ni kwa hiari kwa sababu ndio nchi yetu (motherland). Ukiona tunang'aka hapo na baadhi ya watu ujue sisi tunawajua kuwa sio watanzania halisi bali ni wanyarwanda wanaojifanya ni watanzania. nyie hamuwezi kuwajua lakini sisi kwa kusoma comments zao unaweza kujua huyu ni mtanzania na huyu ni mamluki aliyetumwa...
 
Hili gazeti lenu hili, litaleta makubwa, yetu macho.
So we yo neighbours ni mbwa mwitu,
Kagame kaamua
 
Back
Top Bottom