Vyombo vya kiusalama vikianza kufanya kazi kwa viapo vyao na sio kusaidia chama chochote hii nchi itabadilika. Malawi , Kenya, na Zambia vyombo vya usalama vilikataa kuiba kura ndiyo mabadiliko yakaja
1. Wafuate viapo vyao
2. Walinde wananchi, haki, kura, na chaguzi huru
3. Wasitumike kwenye mambo yasio na manufaa kwa Watanzania kwa maagizo kwasababu za kisiasa
1. Wafuate viapo vyao
2. Walinde wananchi, haki, kura, na chaguzi huru
3. Wasitumike kwenye mambo yasio na manufaa kwa Watanzania kwa maagizo kwasababu za kisiasa