Nashangaa sana waTanganyika wanapokuwa na illusion juu ya kinachoitwa "Vyombo vya Ulinzi na Usalama"
Hivyo vyombo ni wings za CCM kama ilivyo UVCCM au UWT au BAKWATA au TEC etc.
Ni ujingi kufikiria hata siku moja UVCCM itakuja ku overthrow CCM.
Vyombo vya usalama vinawasujudia watawala ili wawape ulaji. Siku hizi wanaingizwa kwa undugu na uchama, hivyo si wengi wenye uwezo ndio maana wanatumika badala ya kutoa njia.Vyombo vya kiusalama vikianza kufanya kazi kwa viapo vyao na sio kusaidia chama chochote hii nchi itabadilika. Malawi , Kenya, na Zambia vyombo vya usalama vilikataa kuiba kura ndiyo mabadiliko yakaja
1. Wafuate viapo vyao
2. Walinde wananchi, haki, kura, na chaguzi huru
3. Wasitumike kuwateka au kuwaua Watanzania kwa maagizo kwasababu za kisiasa
Vyombo vya usalama vinawasujudia watawala ili wawape ulaji. Siku hizi wanaingizwa kwa undugu na uchama, hivyo si wengi wenye uwezo ndio maana wanatumika badala ya kutoa njia.
Kawaida kabisa ya nchi za kijamaa.Nashangaa sana waTanganyika wanapokuwa na illusion juu ya kinachoitwa "Vyombo vya Ulinzi na Usalama"
Hivyo vyombo ni wings za CCM kama ilivyo UVCCM au UWT au BAKWATA au TEC etc.
Ni ujingi kufikiria hata siku moja UVCCM itakuja ku overthrow CCM.
kwahiyo Malawi, Zambia na Kenya kuna mabadiko gentleman?Vyombo vya kiusalama vikianza kufanya kazi kwa viapo vyao na sio kusaidia chama chochote hii nchi itabadilika. Malawi , Kenya, na Zambia vyombo vya usalama vilikataa kuiba kura ndiyo mabadiliko yakaja
1. Wafuate viapo vyao
2. Walinde wananchi, haki, kura, na chaguzi huru
3. Wasitumike kwenye mambo yasio na manufaa kwa Watanzania kwa maagizo kwasababu za kisiasa