Vyombo vya usalama vimeshindwa kulinda usalama wa nchi

passioner255

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
6,881
Reaction score
13,096
Vyombo vya usalama vya Tanzania Wapo makini kuilinda serikali inayoua watu wake na kufanya uchafu mwingi lakini vimeshindwa kuilinda nchi.

NB.hali sio nzuri "YOU BERA WATCH YOUR BACK"
 
vyombo vya usalama vya Tanzania Wapo makini kuilinda serikali haramu inayoua watu wake na kufanya uchafu mwingi lakini vimeshindwa kuilinda nchi na watu wageni wanaokuja kueneza usodoma.

kwa sababu kunataarifa za uhakika kuwa kuna Mashirika yamesambaa nchi nzima yakifanya kazi ya kueneza usodoma na nchi inaharibiwa vibaya.mimi nafikiri mmenunuliwa na hao jamaa.

Nanukuu: "kunataarifa za uhakika kuwa kuna Mashirika yamesambaa nchi nzima yakifanya kazi ya kueneza usodoma na nchi inaharibiwa vibaya".
Jukumu la kulinda Usalama wa nchi linaanzia kwa mtu binafsi -Mzalendo.
Toa Taarifa hizo za uhakika kwa vyombo husika. Ikikupendeza unaweza kutushirikisha kwa kuziweka hapa jukwaani ili nasi tuwezekuona namna tutakavyoweza kuvishauri vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama.
 
nonsense 🐒
 
anayetakiwa kufanya utafiti kuhusu hayo mashirika ni vyombo vya serikali kwa sababu ndo wanaowapa ruhusa ya kufanya kazi zao.kwa hiyo kuwepo kwa hayo mashirika inamaana serikali imefeli.
 
utafiti upo wazi sana upo wenyewe wautafute tu.
 
Vyombo vya usalama vya Tanzania Wapo makini kuilinda serikali inayoua watu wake na kufanya uchafu mwingi lakini vimeshindwa kuilinda nchi.

NB.hali sio nzuri "YOU BERA WATCH YOUR BACK"
Hakuna nchi iliyo salama zaidi ya Tanzania katika nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki na nchi zote za SADC! HAKUNA!
 
ndiyo maana kuna ushahidi kuwa hayo mashirika yanarecruit watu wa jinsia moja kweli tanzania ipo salama si unaona ushoga unavyosambaa kwa kasi?
 
Wewe au ndugu yako au babaako au mwanao kuna shoga! Kama yupo hapo nakubali ushoga unasambaa sana nchini!👍👍👍👍
 
kamati ya mwakiyembe ilitoa ushahidi wa kuwepo kwa mashirika ya aina hiyo na idadi ya recruit.Mimi na familia yangu tunajilinda kwa hiyo hiyo laana haiwezi kutupata.Naona wewe unataka kupinga ukweli kuwa hali ni mbaya au unataka wengine waharibikiwe kwa sababu wewe umeshindwa kulinda?ukweli ni kuwa hali ni mbaya ushahidi upo hata wa kamati.
 
Wewe utakuwa shoga. Haiwezekani kama sio shoga kila mara ushoga, ushoga!
 
Back
Top Bottom