passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Nanukuu: "kunataarifa za uhakika kuwa kuna Mashirika yamesambaa nchi nzima yakifanya kazi ya kueneza usodoma na nchi inaharibiwa vibaya".vyombo vya usalama vya Tanzania Wapo makini kuilinda serikali haramu inayoua watu wake na kufanya uchafu mwingi lakini vimeshindwa kuilinda nchi na watu wageni wanaokuja kueneza usodoma.
kwa sababu kunataarifa za uhakika kuwa kuna Mashirika yamesambaa nchi nzima yakifanya kazi ya kueneza usodoma na nchi inaharibiwa vibaya.mimi nafikiri mmenunuliwa na hao jamaa.
NB.hali sio nzuri "YOU BERA WATCH YOUR BACK"
nonsense πvyombo vya usalama vya Tanzania Wapo makini kuilinda serikali haramu inayoua watu wake na kufanya uchafu mwingi lakini vimeshindwa kuilinda nchi na watu wageni wanaokuja kueneza usodoma.
kwa sababu kunataarifa za uhakika kuwa kuna Mashirika yamesambaa nchi nzima yakifanya kazi ya kueneza usodoma na nchi inaharibiwa vibaya.mimi nafikiri mmenunuliwa na hao jamaa.
NB.hali sio nzuri "YOU BERA WATCH YOUR BACK"
anayetakiwa kufanya utafiti kuhusu hayo mashirika ni vyombo vya serikali kwa sababu ndo wanaowapa ruhusa ya kufanya kazi zao.kwa hiyo kuwepo kwa hayo mashirika inamaana serikali imefeli.Nanukuu: "kunataarifa za uhakika kuwa kuna Mashirika yamesambaa nchi nzima yakifanya kazi ya kueneza usodoma na nchi inaharibiwa vibaya".
Jukumu la kulinda Usalama wa nchi linaanzia kwa mtu binafsi -Mzalendo.
Toa Taarifa hizo za uhakika kwa vyombo husika. Ikikupendeza unaweza kutushirikisha kwa kuziweka hapa jukwaani ili nasi tuwezekuona namna tutakavyoweza kuvishauri vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama.
huu ujumbe ni nonsense kwa 'Mashoga' ila ukweli ni kuwa huu uchafu unasambaa kwa kasi sana.nchi inaharibika.nonsense π
Alinde mgongo wake na watt wake wakiume c alinde ccm tu ...huu ujumbe ni nonsense kwa 'Mashoga' ila ukweli ni kuwa huu uchafu unasambaa kwa kasi sana.nchi inaharibika.
sawasawaAlinde mgongo wake na watt wake wakiume c alinde ccm tu ...
Hakuna nchi iliyo salama zaidi ya Tanzania katika nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki na nchi zote za SADC! HAKUNA!Vyombo vya usalama vya Tanzania Wapo makini kuilinda serikali inayoua watu wake na kufanya uchafu mwingi lakini vimeshindwa kuilinda nchi.
NB.hali sio nzuri "YOU BERA WATCH YOUR BACK"
ndiyo maana kuna ushahidi kuwa hayo mashirika yanarecruit watu wa jinsia moja kweli tanzania ipo salama si unaona ushoga unavyosambaa kwa kasi?Hakuna nchi iliyo salama zaidi ya Tanzania katika nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki na nchi zote za SADC! HAKUNA!
Wewe au ndugu yako au babaako au mwanao kuna shoga! Kama yupo hapo nakubali ushoga unasambaa sana nchini!ππππndiyo maana kuna ushahidi kuwa hayo mashirika yanarecruit watu wa jinsia moja kweli tanzania ipo salama si unaona ushoga unavyosambaa kwa kasi?
kamati ya mwakiyembe ilitoa ushahidi wa kuwepo kwa mashirika ya aina hiyo na idadi ya recruit.Mimi na familia yangu tunajilinda kwa hiyo hiyo laana haiwezi kutupata.Naona wewe unataka kupinga ukweli kuwa hali ni mbaya au unataka wengine waharibikiwe kwa sababu wewe umeshindwa kulinda?ukweli ni kuwa hali ni mbaya ushahidi upo hata wa kamati.Wewe au ndugu yako au babaako au mwanao kuna shoga! Kama yupo hapo nakubali ushoga unasambaa sana nchini!ππππ
Wewe utakuwa shoga. Haiwezekani kama sio shoga kila mara ushoga, ushoga!kamati ya mwakiyembe ilitoa ushahidi wa kuwepo kwa mashirika ya aina hiyo na idadi ya recruit.Mimi na familia yangu tunajilinda kwa hiyo hiyo laana haiwezi kutupata.Naona wewe unataka kupinga ukweli kuwa hali ni mbaya au unataka wengine waharibikiwe kwa sababu wewe umeshindwa kulinda?ukweli ni kuwa hali ni mbaya ushahidi upo hata wa kamati.