Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Wakati Uganda akiimarisha Jeshi lake ili aje kusogeza mpaka wa Kagera, Malawi akijiweka sawa kuchukua Ziwa Nyasa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya vinawaza kuwa chawa wa wapuuzi wa CCM na kuua upinzani ili CCM iendelee kuwepo Madarakani.
Nchi ikiwa kwenye matishio halisi ya kiusalama wao wanawaza kuiba kodi za Wananchi kuhonga madalali wa kisiasa ili Chadema inayowawazia mema Watanzania isipate nafasi ya kuiongoza Tanzania.
Wao saivi kazi yao sio kuilinda Tanzania na watu wake. Wao saivi kazi yao sio kuhakikisha wananchi wanakuwa salama na ustawi imara. Kazi yao ni kujichawisha kwa CCM as if CCM ni Mungu kwao.
Tutakuwepo.