Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
wachumba wametolewa nduki juzi pale Goma na vijana wadogo wa M23 na Rwanda.Uganda na Malawi wote ni wachumba tu
Kakudanganya naniUganda na Malawi wote ni wachumba tu
Embu mwambie Teena Wakasindikizwa mpka mpakaniwachumba wametolewa nduki juzi pale Goma na vijana wadogo wa M23 na Rwanda.
Endeleeni kuishi kwa kukariri na kuendekeza uchawa.
Na kusachiwa na kupigwa na Camera juuEmbu mwambie Teena Wakasindikizwa mpka mpakani
Tulishawatwanga wote wawili 🐼Kakudanganya nani
Acha hizo story, Tanzania iliyo k8chwan8 mwako ni ile ya kwenye vitabu vya kihistoria, siyo hii.Uganda na Malawi wote ni wachumba tu
hujapata tiketi ya zanzibar?Wakati Uganda akiimarisha Jeshi lake ili aje kusogeza mpaka wa Kagera, Malawi akijiweka sawa kuchukua Ziwa Nyasa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya vinawaza kuwa chawa wa wapuuzi wa CCM na kuua upinzani ili CCM iendelee kuwepo Madarakani.
Nchi ikiwa kwenye matishio halisi ya kiusalama wao wanawaza kuiba kodi za Wananchi kuhonga madalali wa kisiasa ili Chadema inayowawazia mema Watanzania isipate nafasi ya kuiongoza Tanzania.
Wao saivi kazi yao sio kuilinda Tanzania na watu wake. Wao saivi kazi yao sio kuhakikisha wananchi wanakuwa salama na ustawi imara. Kazi yao ni kujichawisha kwa CCM as if CCM ni Mungu kwao.
Tutakuwepo.
Hii ni imara zaidiAcha hizo story, Tanzania iliyo k8chwan8 mwako ni ile ya kwenye vitabu vya kihistoria, siyo hii.