Vyombo vya usalama wekeni mpango mzuri wa watu kuaga mwili wa Hayati Dkt. Magufuli

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
761
Reaction score
6,985
Nikiangalia namna jeneza lilivyozungukwa hasa Leo jijini Dar inaonyesha wale key figures wa protocol na security hawakuwepo may be wote wameambatana na Mhe. Samia huko Dodoma, ila nilitamani kuona mkiendelea kuonyesha full respect and security kwenye mazishi Kama ilivyokuwa wakati wa uhai wake. Mpangilio wa kikosi kwenye jeneza haukuvutia niombe mrekebishe

Watu wanaokuja kuaga pia wanatakiwa kuwa managed wasipate madhara. Mnalojukumu kubwa lakuakikisha usalama wa waombolezaji, pls msifanye kwa mzaha Bali fanyeni kwa moyo. Tulikuwa na mikusanyiko mingi na madhara atukuyaona wakati wa uhai wake, ni wakati wakumuenzi kwa kidhibiti madhara.

Aidha, wakiwemo viongozi wakuu wananchi ulindwa na utaratibu ueleweka..leo apakuwa na viongoz wakuu Mambo yakadhorota. Pls lindeni usalama wa raia

Mwisho, tujijengee utaratibu wakutumia maeneo ya wazi au maeneo yenye nafasi kubwa mfano tungetumia uwanja wa mkapa ingekuwa rahisi sana watu kuingia na kutoka kwani kuna gates nyingi kuliko kutumia uwanja wa Uhuru.
 
Wakora mukazi wange. Ushauri safi sana. RIP JPM [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cha ajabu unaweza shangaa kasoro za leo dar zinatokea dodoma na kwingine pia...
Leo ilikua hovyo kabisa. Walitaka fanya kazi kwa mazoea, hawakua na mpango kazi kabisaaaaaa....wameniboa sana!
 
Nikiangalia namna jeneza lilivyozungukwa hasa Leo jijini Dar inaonyesha wale key figures wa protocol na security hawakuwepo may be wote wameambatana na Mhe. Samia huko Dodoma, ila nilitamani kuona mkiendelea kuonyesha full respect and security kwenye mazishi Kama ilivyokuwa wakati wa uhai wake. Mpangilio wa kikosi kwenye jeneza haukuvutia niombe mrekebishe

Watu wanaokuja kuaga pia wanatakiwa kuwa managed wasipate madhara. Mnalojukumu kubwa lakuakikisha usalama wa waombolezaji, pls msifanye kwa mzaha Bali fanyeni kwa moyo. Tulikuwa na mikusanyiko mingi na madhara atukuyaona wakati wa uhai wake, ni wakati wakumuenzi kwa kidhibiti madhara.

Aidha, wakiwemo viongozi wakuu wananchi ulindwa na utaratibu ueleweka..leo apakuwa na viongoz wakuu Mambo yakadhorota. Pls lindeni usalama wa raia

Mwisho, tujijengee utaratibu wakutumia maeneo ya wazi au maeneo yenye nafasi kubwa mfano tungetumia uwanja wa mkapa ingekuwa rahisi sana watu kuingia na kutoka kwani kuna gates nyingi kuliko kutumia uwanja wa Uhuru.
Halaf Sikuona mantiki ya kuzungusha mwili wa Marehemu mara 7 Uwanjani, It is Crazy!
 
Tahadhali Itachukuliwa Dodoma Hasa Ukizingatia Uwanja Ni Mdogo Sana, Maana Dar Es Salaam
Inaonekana Mambo Mengi Sana Hayakwenda Vema. Viongozi Wapo
 
Sababu kuna kundi kubwa walishindwa kufika katika jeneza kuaga ,wakaona Wananchi wabaki wakae Ila jeneza lizungushwe
Mmh, wanamtesa mno Marehemu, hata kama kafa na mwili hauna maumivu tena lkn heshima iwepo...hapa ndo nimewaheshimu Waislam!
 
Marehemu kama ni masikini

Hayati kwa matajiri na wenye status [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
😂😂😂 Hapana Hayati ni Kiarabu maana yake Marehemu kwa Kiswahili.😂😂😂

Ukifa wewe ni marehemu/ Hayati, uwe tajiri uwe masikini, uwe na cheo uwe mnyonge.
 
Back
Top Bottom