Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Marehemu kama ni masikiniHayati na marahemu kuna tofauti gani
Cha ajabu unaweza shangaa kasoro za leo dar zinatokea dodoma na kwingine pia...Nikiangalia namna jeneza lilivyozungukwa hasa Leo jijini Dar inaonyesha wale key figures wa protocol na security hawakuwepo may be wote wameambatana na Mhe. Samia huko Dodoma, ila nilitamani kuona mkiendelea kuonyesha full respect and security kwenye mazishi Kama ilivyokuwa wakati wa uhai wake. Mpangilio wa kikosi kwenye jeneza haukuvutia niombe mrekebishe
Watu wanaokuja kuaga pia wanatakiwa kuwa managed wasipate madhara. Mnalojukumu kubwa lakuakikisha usalama wa waombolezaji, pls msifanye kwa mzaha Bali fanyeni kwa moyo. Tulikuwa na mikusanyiko mingi na madhara atukuyaona wakati wa uhai wake, ni wakati wakumuenzi kwa kidhibiti madhara.
Aidha, wakiwemo viongozi wakuu wananchi ulindwa na utaratibu ueleweka..leo apakuwa na viongoz wakuu Mambo yakadhorota. Pls lindeni usalama wa raia
Mwisho, tujijengee utaratibu wakutumia maeneo ya wazi au maeneo yenye nafasi kubwa mfano tungetumia uwanja wa mkapa ingekuwa rahisi sana watu kuingia na kutoka kwani kuna gates nyingi kuliko kutumia uwanja wa Uhuru.
Halaf Sikuona mantiki ya kuzungusha mwili wa Marehemu mara 7 Uwanjani, It is Crazy!Nikiangalia namna jeneza lilivyozungukwa hasa Leo jijini Dar inaonyesha wale key figures wa protocol na security hawakuwepo may be wote wameambatana na Mhe. Samia huko Dodoma, ila nilitamani kuona mkiendelea kuonyesha full respect and security kwenye mazishi Kama ilivyokuwa wakati wa uhai wake. Mpangilio wa kikosi kwenye jeneza haukuvutia niombe mrekebishe
Watu wanaokuja kuaga pia wanatakiwa kuwa managed wasipate madhara. Mnalojukumu kubwa lakuakikisha usalama wa waombolezaji, pls msifanye kwa mzaha Bali fanyeni kwa moyo. Tulikuwa na mikusanyiko mingi na madhara atukuyaona wakati wa uhai wake, ni wakati wakumuenzi kwa kidhibiti madhara.
Aidha, wakiwemo viongozi wakuu wananchi ulindwa na utaratibu ueleweka..leo apakuwa na viongoz wakuu Mambo yakadhorota. Pls lindeni usalama wa raia
Mwisho, tujijengee utaratibu wakutumia maeneo ya wazi au maeneo yenye nafasi kubwa mfano tungetumia uwanja wa mkapa ingekuwa rahisi sana watu kuingia na kutoka kwani kuna gates nyingi kuliko kutumia uwanja wa Uhuru.
π€£π€£Duh!!! Kumbe,lakini akishazikwa anakuwa marehemu?Marehemu kama ni masikini
Hayati kwa matajiri na wenye status [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Marehemu kama ni masikini
Hayati kwa matajiri na wenye status [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Sababu kuna kundi kubwa walishindwa kufika katika jeneza kuaga ,wakaona Wananchi wabaki wakae Ila jeneza lizungushweHalaf Sikuona mantiki ya kuzungusha mwili wa Marehemu mara 7 Uwanjani, It is Crazy!
Mmh, wanamtesa mno Marehemu, hata kama kafa na mwili hauna maumivu tena lkn heshima iwepo...hapa ndo nimewaheshimu Waislam!Sababu kuna kundi kubwa walishindwa kufika katika jeneza kuaga ,wakaona Wananchi wabaki wakae Ila jeneza lizungushwe
Hapana inakua maiti imezikwa, ππ€£π€£Duh!!! Kumbe,lakini akishazikwa anakuwa marehemu?
πππ Hapana Hayati ni Kiarabu maana yake Marehemu kwa Kiswahili.πππMarehemu kama ni masikini
Hayati kwa matajiri na wenye status [emoji2099][emoji2099][emoji2099]