Rai yangu kwa vyombo vyetu. Naomba vyombo vyetu vibadili utamaduni wa kuwakumbatia na kuwasikiliza wenye MAMLAKA tu na kuwaacha UKIWA Watanzania wengine wakinyanyaswa na kutaabishwa kwa kila namna.
Ifahamike kwamba, hivi ni vyombo vya UMMA, kwa hiyo ni muhimu kuwatendea haki watawala pamoja na UMMA kwa usawa, hasa ikizingatiwa kuwa, watawala ni sehemu ndogo sana kati ya Watanzania wote.
Vyombo vyetu visikae kimya ikiwa ama utawala unaonewa au Watanzania wa kawaida wanaonewa.