Kama hivyo vyombo ni sehemu ya uonevu kwakuwa tu vimelainishwa unategemea nini?Rai yangu kwa vyombo vyetu. Naomba vyombo vyetu vibadili utamaduni wa kuwakumbatia na kuwasikiliza wenye MAMLAKA tu na kuwaacha UKIWA Watanzania wengine wakinyanyaswa na kutaabishwa kwa kila namna.
Ifahamike kwamba, hivi ni vyombo vya UMMA, kwa hiyo ni muhimu kuwatendea haki watawala pamoja na UMMA kwa usawa, hasa ikizingatiwa kuwa, watawala ni sehemu ndogo sana kati ya Watanzania wote.
Vyombo vyetu visikae kimya ikiwa ama utawala unaonewa au Watanzania wa kawaida wanaonewa.
Kiziwi huwa hasikiii.. Ni kumuonea ukitaka asikieKwani chura kiziwi anasemaje?
Ila kipindi hiki lazima atasikia tu.Kiziwi huwa hasikiii.. Ni kumuonea ukitaka asikie
ni vizuri wananchi wote nchini kuishi kwa kuzingatia sheria za kistaarabu tulizojiwekea wenyewe ili kuishi kwa uhuru, haki, usawa na uwazi bila kusababisha usumbufu kwa wengine.Rai yangu kwa vyombo vyetu. Naomba vyombo vyetu vibadili utamaduni wa kuwakumbatia na kuwasikiliza wenye MAMLAKA tu na kuwaacha UKIWA Watanzania wengine wakinyanyaswa na kutaabishwa kwa kila namna.
Ifahamike kwamba, hivi ni vyombo vya UMMA, kwa hiyo ni muhimu kuwatendea haki watawala pamoja na UMMA kwa usawa, hasa ikizingatiwa kuwa, watawala ni sehemu ndogo sana kati ya Watanzania wote.
Vyombo vyetu visikae kimya ikiwa ama utawala unaonewa au Watanzania wa kawaida wanaonewa.
Labda awe kama kenge.. Maana kenge hasikii mpaka apate kipigo heavy damu zimtoke masikioniIla kipindi hiki lazima atasikia tu.