KERO Vyoo ofisi za Azam sea tax havifanyi kazi

KERO Vyoo ofisi za Azam sea tax havifanyi kazi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

mrsmaiko

Member
Joined
May 17, 2024
Posts
33
Reaction score
41
Huduma ya choo ni muhimu kibinadamu na hongera kwa kuweka vyoo pande zote mbil, shida inakuja mnavifunga kwa kusema vibovu. Sio sawa, kama vibovu vikarabatiwe na ili kuweka hali maridhawa chaji hata sh 200 kama wenzenu wa TEMESA choo chao kipo vizuri sana.

Nyie mmeweka vyoo ila kila ukisha scan kadi umeingia kwenye waiting area yenu unahitaji uende chooni mmefunga, dada anasema kibovu. Kibovu wapi jengo jipya la juzi tu??

Acheni tia aibu aibu hivi
 
waafrika tunafeli sana, mambo ya msingi huwa tunapenda kuyachukulia poa
 
Back
Top Bottom