Vyoo Uhamiaji Arusha

Vyoo Uhamiaji Arusha

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,735
Reaction score
8,541
Katika "Harakat National ID" nilipita Uhamiaji mapema saa tatu na hii ni Hali ya vyoo vyao.
IMG_20200109_102911_5.jpg
IMG_20200109_102911_5.jpg
IMG_20200109_102902_7.jpg
IMG_20200109_102922_0.jpg


Bibi Afya na Bwana Afya wakija kukagua kampuni binafsi wanatoza mi faini mikubwa huku vyoo vya serikali Hali Ni mbaya zaidi!

Bwana Adrian hapo Uhamiaji nakukubali Sana kiutendaji hasa namna ulivyonihudumia. Hebu fanya namna wiki Ijayo nikija nikute mabadiliko.

Hilo ezeko hapo kwenye ngazi ulitokea Ofisini kwako na hapo chini Ni pachafu Sana! Ningetapika Ila sikuwa nimekunywa chai asubuhi ile!

Mimi Ni Maintenance Supervisor and Inspector katika kampuni yetu. Najibidiisha katika Environment awareness!
 
Na kampeni yao nyumba ni choo wanaamini choo ni kile chenye tiles ..wanasahau ata usafi ni choo
 
Back
Top Bottom