VYOO VISIVYOJAA

VYOO VISIVYOJAA

murrl

Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
14
Reaction score
13
Karibu katika ujenzi wa vyoo visivyojaa! Kama umependezwa na hii huduma, au unauhitaji na hii huduma tafadhali tutafte kupitia +255689753787!

FAIDA YA HIZI SHIMO
1. Kama utajenga kwa kufata ushauri wa fundi amini halitajaa kamwe!

2. Hutumia eneo dogo sana ulinganisha na mashimo ya kizamani. (Tuti 6 upana, dip futi 10)

3. Kama aridhi yako ni kichanga, wewe faida yako ni kubwa mno.

4. Gharama yake ni nafuu ulinganisha na mashimo ya kizamani.

GHARAMA ZA MFUMO.

1. Kwa shimo moja gharama yake ni 800,000 hapa ni kila kitu juu yetu, hapa Bos wewe tuandalie maji tu! Huu mfumo wa 850,000 unawafaa zaidi watu wa aridhi ya kichanga, kwa sababu wao wanahitaji shimo moja tu, hawana sababu ya kuweka shimo la mawe.

2. Gharama za utengenezaji mashimo mawili ni Tsh 1,250,0000.

Kwanini imekuwa 1,250,000 ?

"Kwa sababu limeongezeka na #shimo la mawe" huu mfumo unawafaa zaidi watu wa aridhi za mfinyanzi..

Tuchaguwe tukufanyie kazi
Call me 06View attachment 321253089753787
By: Kazimili
 
Back
Top Bottom