Vyoo vya abiria Stendi ya Msamvu Morogogoro vinasikitisha, mamlaka husika zitembelee kujionea

Kwakweli Watanzani tunasikitisha Sana, sijui Sisi ni kitu gani ambacho tunaweza kufanya kwa umahiri?

Leo alfajiri nimepita na bus stand ya Msavu Morogoro nikitokea masafa ya mbali, basi ikatangazwa kuchimba dawa nikasema ngoja niende nikatowe maji yaliyobaki kwenye blada.

Basi kufika mlangoni Tu gharama ni 300 badala ya 200 kama stand zingine na malipo haya hayana risiti.

Kuingia vyooni, vyoo havina maji wala mabomba hayatowi maji, kwingine koki zimeharibika, ukijiuliza stand hii imezinduliwa lini ndio unaanza kuhisi labda Sisi tumelaaniwa.

Sasa tunaomba mamlaka husika zitupie macho hizi sehemu zinazotowa huduma muhimu afya za watu ni muhimu Sana, pesa waendelee kuzitafuna lakini Watanzania wanastahili huduma Bora.
Ndiyo maana tulisema viongozi wa maeneo yote wawekwe na wananchi wa sehemu husika ili iwe rahisi kuwawajibisha wasipotimiza wajibu wao
 
Unakuta Jamaa Amevimba Chooni Anataka Kiingilio Ndani Kuchafu
Ukweli Kabisa Wakandarasi Wa Vyoo Vyote Stendi Kubwa Kila Siku
Huondoka Na Ukwasi Mzito Mno Kuliko Hata Pesa Inayopelekwa
Jiji , Manispaa, Halmashauri Yoyote

Viongozi Wapo
Dawa ni kuweka Milango ya kuingia ya kufunguka kwa kadi za ki-electronic ili kudhibiti upotevu wa mapato ya viingilio.
 
Tatizo letu liko pale pale, tunajua kuplan na kutengeneza. Likija swala la ku-maintain ni zero kabisa. Hapo kwa Magu ni same same. Tumelaanika nadhani, ila umasikini ni kitu kibaya sana, yote haya ni matokeo ya umasikini, ufukara na kushindwa kutumia akili ndogo.
 
Kwakweli Watanzani tunasikitisha Sana, sijui Sisi ni kitu gani ambacho tunaweza kufanya kwa umahiri?

Leo alfajiri nimepita na bus stand ya Msavu Morogoro nikitokea masafa ya mbali, basi ikatangazwa kuchimba dawa nikasema ngoja niende nikatowe maji yaliyobaki kwenye blada.

Basi kufika mlangoni Tu gharama ni 300 badala ya 200 kama stand zingine na malipo haya hayana risiti.

Kuingia vyooni, vyoo havina maji wala mabomba hayatowi maji, kwingine koki zimeharibika, ukijiuliza stand hii imezinduliwa lini ndio unaanza kuhisi labda Sisi tumelaaniwa.

Sasa tunaomba mamlaka husika zitupie macho hizi sehemu zinazotowa huduma muhimu afya za watu ni muhimu Sana, pesa waendelee kuzitafuna lakini Watanzania wanastahili huduma Bora.

Cc; Pascal Mayalla tunaomba watu wa media house mliangalie hili ni kero kama Ile kero ya Abiria kulanguliwa vyakula Kwa kupelekwa kula sehemu ambayo dreva ana ganji yake matokeo yake wengine tumeamuwa kususa kabisa kula njiani.
Nchi hiyo ina wasomi wajinga sana. Yaani hata kutunza vyoo hawawezi, daah😭. Cha kushangaza, kwao wanajenga vyoo vizuri huku watumiaji wakubwa wa vyoo vyao ni dada wa Kazi. Wasomi wa nchi hiyo wana laana
 
Kwakweli Watanzani tunasikitisha Sana, sijui Sisi ni kitu gani ambacho tunaweza kufanya kwa umahiri?

Leo alfajiri nimepita na bus stand ya Msavu Morogoro nikitokea masafa ya mbali, basi ikatangazwa kuchimba dawa nikasema ngoja niende nikatowe maji yaliyobaki kwenye blada.

Basi kufika mlangoni Tu gharama ni 300 badala ya 200 kama stand zingine na malipo haya hayana risiti.

Kuingia vyooni, vyoo havina maji wala mabomba hayatowi maji, kwingine koki zimeharibika, ukijiuliza stand hii imezinduliwa lini ndio unaanza kuhisi labda Sisi tumelaaniwa.

Sasa tunaomba mamlaka husika zitupie macho hizi sehemu zinazotowa huduma muhimu afya za watu ni muhimu Sana, pesa waendelee kuzitafuna lakini Watanzania wanastahili huduma Bora.

Cc; Pascal Mayalla tunaomba watu wa media house mliangalie hili ni kero kama Ile kero ya Abiria kulanguliwa vyakula Kwa kupelekwa kula sehemu ambayo dreva ana ganji yake matokeo yake wengine tumeamuwa kususa kabisa kula njiani.
Mkuu hii ni Nchi ya HOVYO SANA karibu kila pahala

Pia, kuna Mjinga mmoja nilimwambia kuwa Watu weusi wana laana

Popote palipo na Watu weusi katika dunia hii kuna mambo ya hovyo kuanzia Uongozi, Ulinzi na hata suala la Afya / Usafi

Watu weusi ni Waharibifu, hata wakijengewa vitu vizuri ambavyo wao hawawezi kuumiza vichwa kutengeneza wataviharibu na havitadumu

Hapo hizo sink zote zitaharibiwa na wataanza kukojoa nje ya vyoo na kuandika matusi vyooni

Tazama Uongozi wa CCM na Halmashauri zake hata wakiona hii mada hawawezi kufanyia kazi kwasababu ni Wazembe na Wapuuzaji
 
Ungeonesha mfano kwa kuchangia milioni mbili ya ukarabati.

Kutwa kulalamika tu. DOKTA MATOLA MAVI.
 
Kwakweli Watanzani tunasikitisha Sana, sijui Sisi ni kitu gani ambacho tunaweza kufanya kwa umahiri?

Leo alfajiri nimepita na bus stand ya Msavu Morogoro nikitokea masafa ya mbali, basi ikatangazwa kuchimba dawa nikasema ngoja niende nikatowe maji yaliyobaki kwenye blada.

Basi kufika mlangoni Tu gharama ni 300 badala ya 200 kama stand zingine na malipo haya hayana risiti.

Kuingia vyooni, vyoo havina maji wala mabomba hayatowi maji, kwingine koki zimeharibika, ukijiuliza stand hii imezinduliwa lini ndio unaanza kuhisi labda Sisi tumelaaniwa.

Sasa tunaomba mamlaka husika zitupie macho hizi sehemu zinazotowa huduma muhimu afya za watu ni muhimu Sana, pesa waendelee kuzitafuna lakini Watanzania wanastahili huduma Bora.

Cc; Pascal Mayalla tunaomba watu wa media house mliangalie hili ni kero kama Ile kero ya Abiria kulanguliwa vyakula Kwa kupelekwa kula sehemu ambayo dreva ana ganji yake matokeo yake wengine tumeamuwa kususa kabisa kula njiani.
Stand ya Msamvu ina zaidi ya miaka 10 maana ilijengwa enzi za JK, nivema ikafanyiwa ukarabati kwenye baadhi ya miundombinu.
 
Back
Top Bottom