Vyoo vya Umma vya eneo la Mapokezi ya Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya ni vichafu havifai kuwa eneo kama la Hospitali kubwa ya umma. Huku ni kurudisha nyuma jitihada za Rais Samia anayekosa usingizi kuboresha huduma za afya kila siku
Daah wana vyoo vya hovyo hapo na vichafu vinanuka mpaka hapo Reception yao ila majengo mengi yanajengwa wamesahau hivyo vyoo. Kutumia hivyo vyoo inatakiwa uwe jasiri sana...